Mtoto amemaliza form four mwaka jana na kupata ufaulu huu.Je ni kozi gani anaweza kufanya kwa sababu hataki kwenda form 5, anataka aanze chuo na ngazi ya astashahada
Civics C
History C
Geography C
Kiswahili C
English B+
Literature D
Biology B
Mathematics E
Hasoma physics na chemia math kazingua hataki kwenda advance kama baba fanya maamuzi magumu mpeleke mwanao advance ataenda chuo kusoma nn sasa hapo kwa ajili ya nn mpeleke advnce aje apige education baadaye hata kozi nyngne
Almost masomo ya biashara yote anaweza pata nafasi muhimu muulize muhusika anataka kuwa na ujuzi gani na nini anapendelea kwa maisha yake ya baadae kusoma advance sio ishu siku hizi mizinguo ni BRN zao me na msupport aende chuo