Anaweza kusoma kozi gani chuo kwa matokeo haya ya form 4?

Anaweza kusoma kozi gani chuo kwa matokeo haya ya form 4?

Cherrylicious

Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
37
Reaction score
2
Wadau

Mtoto amemaliza form four mwaka jana na kupata ufaulu huu.Je ni kozi gani anaweza kufanya kwa sababu hataki kwenda form 5, anataka aanze chuo na ngazi ya astashahada

Civics – C
History – C
Geography – C
Kiswahili – C
English – B+
Literature – D
Biology – B
Mathematics – E

Asanteni
 
mwambie aende HKL mbona advance rahisi kuliko o-level
 
mwambie akakomae bhanabna advance
 
mwambie akakomae bhana na advance
 
Kama hapendi kwenda elimu ya kidato cha tano na sita likely kuna kitu atakuwa anapenda....muulize yeye ndiye mwenye majibu ya uhakika!
 
Hasoma physics na chemia math kazingua hataki kwenda advance kama baba fanya maamuzi magumu mpeleke mwanao advance ataenda chuo kusoma nn sasa hapo kwa ajili ya nn mpeleke advnce aje apige education baadaye hata kozi nyngne
 
Almost masomo ya biashara yote anaweza pata nafasi muhimu muulize muhusika anataka kuwa na ujuzi gani na nini anapendelea kwa maisha yake ya baadae kusoma advance sio ishu siku hizi mizinguo ni BRN zao me na msupport aende chuo
 
mwambie afanye general agriculture vyuo vya kilimo kuna kile cha morogoro,all the best bro.
 
Chuo anapata tu,

But ingekuwa mzuka angepiga physics na chemistry ingekuwa shavu sana.
 
Back
Top Bottom