structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 907
wadau kuna dogo(msichana)ana ndoto za kuwa daktari na matokeo yake sio mazuri sana kwani amepata Phy-F, Chem-E, Bioz- D, Gs-F na Bam-F. Je kwa matokeo hayo anaweza pata course ya udaktari hata kwa njia ya pre-entry program? Na kama kuna vyuo hivo ni vip na gharama zake zikoje wadau?