anaweza kuwa daktar

anaweza kuwa daktar

Nenda chuo cha kolandoto ukapige dipl ya co,lab techn au nursing kipo pouwa ile mbaya kwamatokeo hayo mbona umefanya vizuri lazima upate jitahidi kufatilia kolandoto huko shinyanga afu nenda kapige msuri dogo
 
jaman naomben mnishaur nimepata div 4 points 26
PHY D
CHEM C
MATH D
BIO C
KISW D
ENGL D
CVCS D
GEOG D
HIST D
Je niombe chuo gani cha serekar ambacho naweza kupata coz nimetoka shule za kata na uwezo wa kusoma chuo private cna but napata hofu kama nitapata chuo coz nackia kuna kujuana xna huko kwenye selection naomba munisaidie waungwana...

nenda kolandoto college of heatlh kapige hiyo dilp ya co.
 
Back
Top Bottom