structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 907
mwambie dogo apge dip clinical officer kama bdo ana utaka udaktari,bt kuna course nzur za afya na znalpa lyk medical lab,medical radiography na dip za pharmacy,env health,dental techn kwa matokeo yake ni kugusa tu.,
Thx boc, sasa vip vyuo gani vinatambulika kwenye hiyo clinical ofsa? dogo yupo moshi. Je hizo coz zingine anaweza fanya shahada au nazenyewe lazima aende dip kwanza?
Dogo apply vyuo vlovyo chni ya wizara ya afya.matokeo yako utapata,dip in nursing n nzuri,ada lak 6 kwa mwka.
unaweza lpia kwa awamu mbil per year,kujuana popote lpo bt uwez jua nafac yako ikoje kwa hayo.
THNS BRO but nakumbuka 2lija tcm9 shule je vp hazitofanyiwa kaz na je 2lishaombaga je wizara itatoa nafac 2ombe tena? plz naomba unijuze
vyuo vilivyo chini ya wizara ya Afya Muda wa application ushapita. deadline ilikua tarehe 30 April. Na Kule ushindani ni mkubwa sana hasa kwa miaka hii maana hata vyuo vyenyewe ni vichache sana. Mfano kanda ya kusini Iringa, Njombe, Ruvuma,Mbeya na Rukwa kuna Chuo Kimoja tu cha Clinical Officer na kwa mwaka kinachukua wanafunzi 50Dogo apply vyuo vlovyo chni ya wizara ya afya.matokeo yako utapata,dip in nursing n nzuri,ada lak 6 kwa mwka.
vyuo vilivyo chini ya wizara ya Afya Muda wa application ushapita. deadline ilikua tarehe 30 April. Na Kule ushindani ni mkubwa sana hasa kwa miaka hii maana hata vyuo vyenyewe ni vichache sana. Mfano kanda ya kusini Iringa, Njombe, Ruvuma,Mbeya na Rukwa kuna Chuo Kimoja tu cha Clinical Officer na kwa mwaka kinachukua wanafunzi 50
Apige vyuo vya private Kama pale sengerema kuna Chuo cha Clinical Officer, akienda Ruaha University (RUCO) pana diploma ya pharmacy na Laboratory. Nimeipenda sana career ya dogo mwambie asibabaike abaki Huku Huku kwenye Afya maana ajira zake hazina longo longo hata mishahara yao si mibaya na pia atakuja kulihudumia Taifa na WananchiUnanishaur vp bro..
Apige vyuo vya private Kama pale sengerema kuna Chuo cha Clinical Officer, akienda Ruaha University (RUCO) pana diploma ya pharmacy na Laboratory. Nimeipenda sana career ya dogo mwambie asibabaike abaki Huku Huku kwenye Afya maana ajira zake hazina longo longo hata mishahara yao si mibaya na pia atakuja kulihudumia Taifa na Wananchi
Nashukuru kwa ushauri wenu but private ada shiling ngap per year?
Nashukuru kwa ushauri wenu but private ada shiling ngap per year?
sengerema ni 2mil.