jaman naomben mnishaur nimepata div 4 points 26
PHY D
CHEM C
MATH D
BIO C
KISW D
ENGL D
CVCS D
GEOG D
HIST D
Je niombe chuo gani cha serekar ambacho naweza kupata coz nimetoka shule za kata na uwezo wa kusoma chuo private cna but napata hofu kama nitapata chuo coz nackia kuna kujuana xna huko kwenye selection naomba munisaidie waungwana...