Anaweza pata shule nzuri kwa matokeo haya?

Ndondocha mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
2,490
Reaction score
2,965
Et wana jf kuna kijana amepata div 3 ya 25 na katka komb lake la kwanza alilochagua yan egm ana c ya geograph na b+ ya math je anaweza pata shule nzur ya a-level?
 
muulize shule zake alizo jaza kisha utuwekee hapa sio unauliza kirahisi namna hivyo!
.
.
.********************
 
Et wana jf kuna kijana amepata div 3 ya 25 na katka komb lake la kwanza alilochagua yan egm ana c ya geograph na b+ ya math je anaweza pata shule nzur ya a-level?

a level atapata but sio lazima iwe kati ya zile alizochagua...!over
 
Et wana jf kuna kijana amepata div 3 ya 25 na katka komb lake la kwanza alilochagua yan egm ana c ya geograph na b+ ya math je anaweza pata shule nzur ya a-level?

First of all hakuna shule nzuri tanzania inayochukua kombi ya EGM zote mbovu tu kombi zilizo kwenye shule nzuri ni HGL,ECA,PCB,PCM,CBA ,CBG,ambazo ni zile za vipaji maalumu
 
Back
Top Bottom