Jean piaget
Senior Member
- Mar 15, 2014
- 143
- 34
Hi jf members?
Kuna mdogo alihitimu form six mwaka jana lakni hakuaply chuo, mwaka huu anataka afanye application, faculty ambayo anapenda ni LAW (LLB), je TCU watamchagua kwa haya matokeo?
NB: history F, Kisw D, english D. (div.3 point 15), education hataki.
ukikosa au ukiona vipi nenda mzumbe,wanatoa certificate ya mwaka mmoja,ukipata upper second kama sikosei unaenda bachelor moja kwa moja kwa mtu alietoka form 6 na kupata point chini ya 4.5.wapo LLB wengi tu walifanya hivyoHi jf members?
Kuna mdogo alihitimu form six mwaka jana lakni hakuaply chuo, mwaka huu anataka afanye application, faculty ambayo anapenda ni LAW (LLB), je TCU watamchagua kwa haya matokeo?
NB: history F, Kisw D, english D. (div.3 point 15), education hataki.
anapata bwana vyuo vingi sikuhizi bwana.hizo ni point 4.kuna vyuo wanachukua 3.5,2.5,2,3 so asihofu.ila kwa vyuo vya uma vyenye competition kubwa sidhani
hawezi_asilan_abadan
Sawa mkuu, ni vyuo vp ambavyo wanachukua cut off point hizo hapo juu?(4 point)
mzumbe wanachukua mwisho nne mkuu labdaSAUT,RUCo,TUMAINI,MZUMBE
SAUT,RUCo,TUMAINI,MZUMBE
Hi jf members?
Kuna mdogo alihitimu form six mwaka jana lakni hakuaply chuo, mwaka huu anataka afanye application, faculty ambayo anapenda ni LAW (LLB), je TCU watamchagua kwa haya matokeo?
NB: history F, Kisw D, english D. (div.3 point 15), education hataki.
mzumbe wanachukua mwisho nne mkuu labda
Candidates falling in the following categories shall apply directly to the University:
1. Those who wish to apply for bachelor programmes with equivalent qualifications in which a candidate hold a relevant certificate from Mzumbe University and 3.5 or 2.0 A level points (depending on the programme)
2. Those who wish to apply for Diploma and Certificate Programmes
A. ADMISSION REQUIREMENTS FOR DIFFERENT DEGREE PROGRAMMES
1. Bachelor of Public Administration (BPA) (Offered at Main Campus)
2. Bachelor of Human Resources Management (BHRM) (Offered at Main Campus)
3. Bachelor of Local Government Management (BLGM) (Offered at Main Campus)
4. Bachelor of Health Services Management (BHSM) (Offered at Main Campus)
5. Bachelor of Public Administration Records and Archives Management (BPA-RAM) (Offered at Main Campus)
All five degree programmes named above require a certificate of at least second class level from Mzumbe University. In addition, an applicant must have completed Form VI with at least 3.5 points in the ACSEE. Where the principal pass does not include English Language, the applicants must have obtained at least a credit in English Language at O-level.
6. Bachelor of Laws
The applicants must be holders of a certificate in Law of at least second class level awarded by Mzumbe University. In addition, an applicant must also have completed form VI with at least 3.5 points in the Advanced Certificate of Secondary Education.
Asante mkuujordan university 2.5,kiu 2.5 ,open ,sekomu 2.5,stella maris 2.5,TUMAINI 2.5.HUKO UHAKIKA UNAPATA MKUU USIHOFU,NA UNIVERSITY OF DODOMA MWAKAJANA WALIKUWA WANACHUKUA 2.5 HADI LAWS
ANGALIA GUIDEBOOK YA MWAKAJANA HADI 2015 NIME ATTACH
O'level History alipata grade gani? It might work[/QU
O level history alipata C