Anaweza soma sheria kwa haya matokeo?

Anaweza soma sheria kwa haya matokeo?

Jean piaget

Senior Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
143
Reaction score
34
Hi jf members?
Kuna mdogo alihitimu form six mwaka jana lakni hakuaply chuo, mwaka huu anataka afanye application, faculty ambayo anapenda ni LAW (LLB), je TCU watamchagua kwa haya matokeo?
NB: history F, Kisw D, english D. (div.3 point 15), education hataki.
 
Yeah atapata tu asijali vyuo vingi sana now days
 
anapata bwana vyuo vingi sikuhizi bwana.hizo ni point 4.kuna vyuo wanachukua 3.5,2.5,2,3 so asihofu.ila kwa vyuo vya uma vyenye competition kubwa sidhani
 
Hi jf members?
Kuna mdogo alihitimu form six mwaka jana lakni hakuaply chuo, mwaka huu anataka afanye application, faculty ambayo anapenda ni LAW (LLB), je TCU watamchagua kwa haya matokeo?
NB: history F, Kisw D, english D. (div.3 point 15), education hataki.
ukikosa au ukiona vipi nenda mzumbe,wanatoa certificate ya mwaka mmoja,ukipata upper second kama sikosei unaenda bachelor moja kwa moja kwa mtu alietoka form 6 na kupata point chini ya 4.5.wapo LLB wengi tu walifanya hivyo
 
atapata ila namshauri asome education, maana kuna graduate wengi wa sheria wanasota mtaani wengine wana miaka mitano na wamesoma school of law na hawana kazi.
 
anapata bwana vyuo vingi sikuhizi bwana.hizo ni point 4.kuna vyuo wanachukua 3.5,2.5,2,3 so asihofu.ila kwa vyuo vya uma vyenye competition kubwa sidhani

Sawa mkuu, ni vyuo vp ambavyo wanachukua cut off point hizo hapo juu?(4 point)
 
Ni kweli lakin hiyo faculty haipendi, cjui kwa nin?@YUSHIN
 
SAUT,RUCo,TUMAINI,MZUMBE
mzumbe wanachukua mwisho nne mkuu labda
Candidates falling in the following categories shall apply directly to the University:
1. Those who wish to apply for bachelor programmes with equivalent qualifications in which a candidate hold a relevant certificate from Mzumbe University and 3.5 or 2.0 A level points (depending on the programme)
2. Those who wish to apply for Diploma and Certificate Programmes

A. ADMISSION REQUIREMENTS FOR DIFFERENT DEGREE PROGRAMMES
1. Bachelor of Public Administration (BPA) – (Offered at Main Campus)
2. Bachelor of Human Resources Management (BHRM) – (Offered at Main Campus)
3. Bachelor of Local Government Management (BLGM) – (Offered at Main Campus)
4. Bachelor of Health Services Management (BHSM) – (Offered at Main Campus)
5. Bachelor of Public Administration –Records and Archives Management (BPA-RAM) – (Offered at Main Campus)

All five degree programmes named above require a certificate of at least second class level from Mzumbe University. In addition, an applicant must have completed Form VI with at least 3.5 points in the ACSEE. Where the principal pass does not include English Language, the applicants must have obtained at least a credit in English Language at O-level.

6. Bachelor of Laws
The applicants must be holders of a certificate in Law of at least second class level awarded by Mzumbe University. In addition, an applicant must also have completed form VI with at least 3.5 points in the Advanced Certificate of Secondary Education.
 
Qualifications za kusoma law ni lazima uwe umefaulu history,sasa hapo ye kapata f sidhani kama watamchagua..aombe ualimu tu.
 
Hi jf members?
Kuna mdogo alihitimu form six mwaka jana lakni hakuaply chuo, mwaka huu anataka afanye application, faculty ambayo anapenda ni LAW (LLB), je TCU watamchagua kwa haya matokeo?
NB: history F, Kisw D, english D. (div.3 point 15), education hataki.

O'level History alipata grade gani? It might work
 
Mwambie aombe vyuo hivi
1. Ruco
2. Tumaini
3. Saut

Atapata akiomba vingine imekula kwake.
 
mzumbe wanachukua mwisho nne mkuu labda
Candidates falling in the following categories shall apply directly to the University:
1. Those who wish to apply for bachelor programmes with equivalent qualifications in which a candidate hold a relevant certificate from Mzumbe University and 3.5 or 2.0 A level points (depending on the programme)
2. Those who wish to apply for Diploma and Certificate Programmes

A. ADMISSION REQUIREMENTS FOR DIFFERENT DEGREE PROGRAMMES
1. Bachelor of Public Administration (BPA) – (Offered at Main Campus)
2. Bachelor of Human Resources Management (BHRM) – (Offered at Main Campus)
3. Bachelor of Local Government Management (BLGM) – (Offered at Main Campus)
4. Bachelor of Health Services Management (BHSM) – (Offered at Main Campus)
5. Bachelor of Public Administration –Records and Archives Management (BPA-RAM) – (Offered at Main Campus)

All five degree programmes named above require a certificate of at least second class level from Mzumbe University. In addition, an applicant must have completed Form VI with at least 3.5 points in the ACSEE. Where the principal pass does not include English Language, the applicants must have obtained at least a credit in English Language at O-level.

6. Bachelor of Laws
The applicants must be holders of a certificate in Law of at least second class level awarded by Mzumbe University. In addition, an applicant must also have completed form VI with at least 3.5 points in the Advanced Certificate of Secondary Education.

Asante kwa ufafanuzi mzuri mkuu
 
jordan university 2.5,kiu 2.5 ,open ,sekomu 2.5,stella maris 2.5,TUMAINI 2.5.HUKO UHAKIKA UNAPATA MKUU USIHOFU,NA UNIVERSITY OF DODOMA MWAKAJANA WALIKUWA WANACHUKUA 2.5 HADI LAWS
ANGALIA GUIDEBOOK YA MWAKAJANA HADI 2015 NIME ATTACH
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom