Anawezaje kupata Chuo?

Anawezaje kupata Chuo?

Akitaka kuwa rafiki wa kila ntu na kupendwa auze barafu.
Screenshot_20240229-211729.jpg
 
Amemaliza 4m4 hakuchagua kwenda advave bali chuo so bado anasubiri selection
1.Kwa kozi atakayochaguliwa ajitahidi awe mzuri sana sio kwenye mitihani tu lakini tu hata kiutendaji mfano kupresent kazi za darasani na kama kozi zina practical awe mzuri zaidi na huko.

2.Awe mwepesi kushirikiana na wengine academically,kwa anachojua awe mwepesi kuwashirikisha wenzake na kuwasaidia wenye uwezo mdogo darasani.

3.Awe mwepesi wa kujichanganya,na kuongea na watu,group discussion,vyama vya kidini,events za chuo...uchangamfu,ucheshi,utani na furaha ndivyo huunganisha watu kwa urahisi sana.Bila kusahau michezo.

3.Ukaribu atakaoupata na watu autumie kuwajua watu zaidi,asilazimishe,awe yeye lakini apate kuwajua watu,walikotokea,stori zao za maisha,kwa nini wapo hapo,matamanio yao.Awe mzuri wa kuuliza maswali kwa wote wakubwa wake,walimu wake na wale wa rika lake.Awe mzuri sana wa kusikiliza.

4.Muda wa likizo asiutumie kurudi nyumbani,kuna sehemu potential ambazo wanaweza kuhitaji mtu mwenye ujuzi kama wake...makampuni,mashirika n.k aombe akajifunze kwa vitendo zaidi.Huko ajitume,ajishushe na awe mdadidisi wa kutaka kujua na kujifunza zaidi.

5.Si kila mtu ambaye atafahamiana nae atakuwa na msaada sana kwake,kwa wale watakaonesha kuwa karibu na kuvutiwa na namna alivyo awaweke karibu zaidi,ni rahisi kupata msaada wa mawazo au chochote huko.

6.Ajifunze kukipenda zaidi kile atakachoenda kusomea,aenjoy maisha ya chuo,aheshimu wakubwa zake na wadogo,ajitenge na makundi yanayoweza kumuhuharibia ndoto zake,awe na karibu na watu wenye ndoto kama yeye na wale wanaofanya kile anachokisomea.

Naamini anaweza kupata mwanzo mzuri wa kile anachokipagania.

Kila la heri kwake.
 
Akitaka kuwa rafiki wa kila ntu na kupendwa auze barafu.View attachment 2920558
Mkuu huelewi hata maana ya huo msemo ngoja nikusaidie,, hiyo falsafa inamaanisha kwamba kiongozi anaye fuata sheria lazima atachukiwa na watu wengi, that means kiongozi hawezi akapendwa na kila mtu hata raisi wa nchi akifuata sheria lazima watu watamchukua, ""umeona sasa kaka yake nilivyo na akili bado dogo langu anayetafuta connection ni nondo balaa😂😂😂
 
Mkuu huelewi hata maana ya huo msemo ngoja nikusaidie,, hiyo falsafa inamaanisha kwamba kiongozi anaye fuata sheria lazima atachukiwa na watu wengi, that means kiongozi hawezi akapendwa na kila mtu hata raisi wa nchi akifuata sheria lazima watu watamchukua, ""umeona sasa kaka yake nilivyo na akili bado dogo langu anayetafuta connection ni nondo balaa😂😂😂
Kwa kifupi hawezi kuwa rafiki wa kila mtu .
 
Wandugu kuna mdogo wangu ambaye amehitimu kidato cha nne mwaka jana na wakati wa kujaza selform, alichagua kwenda chuo, sasa alikuwa anauliza ni kwa namna gani anaweza akapata connection hapo chuoni, na ni kwanamna gani anaweza kutengeneza marafiki wengi awapo chuoni, ikibidi hata chuo kizima awe na urafiki na kila mtu ili kuwe na wepesi kupata connection kwenye maswala ya kimaisha,

Nawasilisha
Mkuu, sema ni wewe mwenyewe nd'o una mpango wa kwenda kutafuta kiki chuoni, sio mdogo wako.
Ukienda kutafuta kiki, ama utadisko au utapata GPA ya hovyo kabisa!!!
 
Back
Top Bottom