PreGE2025 Anaye tufaa kuwa rais amefungwa na wanaotaka wachaguliwe wanaita watu mashetani na huku utekaji ukitamalaki nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Tajiri wa kinyankole

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,977
Reaction score
4,912
Kimsingi kwa maoni yangu TUNDU LISU alikuwa anatufaa katika nyakati hizi sababu kubwa ni kwamba waliopo madarakani sasa hivi ukikosoa unaitwa mhalifu na kutekwa.

Watu wengi ambao wameikosoa serikali ya wawamu ya sita kwa ujasiri kwa sasa wengi wamepotea!

Nachojiuliza askofu Gwajima kukemea utekaji kanisani ni kosa la kusababisha kufuta kanisa lake? Bungeni wabunge wameshindwa kuliongelea watu wametafuta sehemu nyingine ya kukemea leo serikali inafuta kanisa na raisi anasema baadhi ya wakiristo ni mashetani tunaenda wapi kama taifa.

Niliwahi kutahadhalisha kuna genge linaongoza hii nchi na linatengeneza kundi lao ambalo kimsingi ndilo linalotapanya fedha za umma kwa maslahi yao na hata kutawala nchi. Msishangae zipo tetesi kuna kundi linasukwa kwa ajiri ya kuja kutengeneza njia ya 2030 kwa vijana wao.

Watanzania wengi wanapopewa vyeo vidogo kama mkuu wa mkoa wilaya mkurugenzi na n.k wanasahau kujuwa ipo siku na wao kazi hizo wataziacha badala wote kukaa kitu kimoja na kutengeneza katiba nzuri kwa ajiri ya baadae wao wanaendekeza uchawa wa mda mfupi huku unayempigania maisha yake yote atalindwa ba kupewa maposho lukuki maisha yake yote.

Najiuliza mtu wnahitaji apigiwe kura na wanachi huku akikosolewa kuhusu utekaji na watu kupotea anaziba watu midomo na kuwaita majina yasiyoeleweka.

Nchi yetu tusikubali kutawaliwa na wahuni magenge ya wahalifu ya utekaji yamekuwa makubwa (mzee butiku aliwahi kusema )na wanaoratibu magenge hayo
 
Kuna imani fulani wao wanatanguliza subwana watahalaa sasa tuwaulize huyo subwana ni mungu gani wao au wetu sote.
 
Tunaye shetani anayejifanya kuwa malaika wa nuru
C......
FB_IMG_1746203025363.jpg
 
Kimsingi kwa maoni yangu TUNDU LISU alikuwa anatufaa katika nyakati hizi sababu kubwa ni kwamba waliopo madarakani sasa hivi ukikosoa unaitwa mhalifu na kutekwa.

Watu wengi ambao wameikosoa serikali ya wawamu ya sita kwa ujasiri kwa sasa wengi wamepotea!

Nachojiuliza askofu Gwajima kukemea utekaji kanisani ni kosa la kusababisha kufuta kanisa lake? Bungeni wabunge wameshindwa kuliongelea watu wametafuta sehemu nyingine ya kukemea leo serikali inafuta kanisa na raisi anasema baadhi ya wakiristo ni mashetani tunaenda wapi kama taifa.

Niliwahi kutahadhalisha kuna genge linaongoza hii nchi na linatengeneza kundi lao ambalo kimsingi ndilo linalotapanya fedha za umma kwa maslahi yao na hata kutawala nchi. Msishangae zipo tetesi kuna kundi linasukwa kwa ajiri ya kuja kutengeneza njia ya 2030 kwa vijana wao.

Watanzania wengi wanapopewa vyeo vidogo kama mkuu wa mkoa wilaya mkurugenzi na n.k wanasahau kujuwa ipo siku na wao kazi hizo wataziacha badala wote kukaa kitu kimoja na kutengeneza katiba nzuri kwa ajiri ya baadae wao wanaendekeza uchawa wa mda mfupi huku unayempigania maisha yake yote atalindwa ba kupewa maposho lukuki maisha yake yote.

Najiuliza mtu wnahitaji apigiwe kura na wanachi huku akikosolewa kuhusu utekaji na watu kupotea anaziba watu midomo na kuwaita majina yasiyoeleweka.

Nchi yetu tusikubali kutawaliwa na wahuni magenge ya wahalifu ya utekaji yamekuwa makubwa (mzee butiku aliwahi kusema )na wanaoratibu magenge hayo
Umetumwa acha kutumia matako kufikiri wakati una uwezo wa kuumba hoja za msingi.
China na Marekani nani kwa sasa Ana misuri ya kuibadirisha dunia?
Acha kukariri hadithi,leta kitu tukuelewe.
Eti Lissu, mfungwa fake anayejilinganisha na Mandela, akapaga kukamatwa na akijua atakamatwa kwa kukaidi na kuvunja sheria za nchi,na kweli wakamsweka ndani is quite opposite na Mandela. Afadhali ungekuja wewe ukajipambanua tutakuelewa kuliko hao unaowapigania.
 
No Reforms No Election
 
#

#Free Tundu Lissu #
 
Back
Top Bottom