Anayeajiri warembo wa promo za simu Kariakoo haendi peponi

Yaani kkoo sasa hv mitaa ya maduka ya simu kuna pisi yaani zile pisi za promotion za heineken, whindhoek zinasubiri. Yaani jamaa anayeaJiri hao viumbe anapointi vitu hatari, yaani ukute wamepiga zile jinsi na tsheti zenye nembo za infinix au oppo zao unaweza jikuta unafata nyuma nyuma hadi corona inanyanyuka[emoji16].
Yaani unaweza jikuta una iphone 11 mwisho wa siku unashtuka umenunua li infinix bila kutegemea. Yaani nimetupa li infinix kwenye dustbin baada ya kujitambua utafikiri nimerogwa yaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi ni too theoretical jambo ambalo linaathiri uwezo wangu wa kuchangia

Hebu weka picha twende practically [emoji124][emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Report yoyote huwa ina viambatanisho kama picha ili kujua hatua iliyofikiwa au kama kile kilichoandikwa kina uhalisia. RUDI KALETE PICHA TUUNGE JUHUDI ZA KUSIFIA NA SISI
 
Yaani kkoo sasa hv mitaa ya maduka ya simu kuna pisi yaani zile pisi za promotion za heineken, whindhoek zinasubiri. Yaani jamaa anayeaJiri hao viumbe anapointi vitu hatari, yaani ukute wamepiga zile jinsi na tsheti zenye nembo za infinix au oppo zao unaweza jikuta unafata nyuma nyuma hadi corona inanyanyuka[emoji16].
Yaani unaweza jikuta una iphone 11 mwisho wa siku unashtuka umenunua li infinix bila kutegemea. Yaani nimetupa li infinix kwenye dustbin baada ya kujitambua utafikiri nimerogwa yaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ambatanisha na kapicha mkuu
 
Siwezi nikasahau kuna mwaka flani kariakoo nilitaka kutongoza mdoli
Kuna kamtaa wanauza Sana mawigi halafu mawigi yamevishwa kwenye vichwa vya midoli na hiyo midoli inafanana na hao mabinti wanaouza mawigi
 
Back
Top Bottom