Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
daaah mkuu si ungenipa mimi hiyo infinix π , ona sasa wazoa taka watakavyojifaidia kitu kipya.
Huu uzi ni too theoretical jambo ambalo linaathiri uwezo wangu wa kuchangiaYaani kkoo sasa hv mitaa ya maduka ya simu kuna pisi yaani zile pisi za promotion za heineken, whindhoek zinasubiri. Yaani jamaa anayeaJiri hao viumbe anapointi vitu hatari, yaani ukute wamepiga zile jinsi na tsheti zenye nembo za infinix au oppo zao unaweza jikuta unafata nyuma nyuma hadi corona inanyanyuka[emoji16].
Yaani unaweza jikuta una iphone 11 mwisho wa siku unashtuka umenunua li infinix bila kutegemea. Yaani nimetupa li infinix kwenye dustbin baada ya kujitambua utafikiri nimerogwa yaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambatanisha na kapicha mkuuYaani kkoo sasa hv mitaa ya maduka ya simu kuna pisi yaani zile pisi za promotion za heineken, whindhoek zinasubiri. Yaani jamaa anayeaJiri hao viumbe anapointi vitu hatari, yaani ukute wamepiga zile jinsi na tsheti zenye nembo za infinix au oppo zao unaweza jikuta unafata nyuma nyuma hadi corona inanyanyuka[emoji16].
Yaani unaweza jikuta una iphone 11 mwisho wa siku unashtuka umenunua li infinix bila kutegemea. Yaani nimetupa li infinix kwenye dustbin baada ya kujitambua utafikiri nimerogwa yaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi wakusifia warembo ambao hauna picha uwa siuelewag mzeee
Embu utendeee hakii
Sent using Jamii Forums mobile app
Jichanganye Tu Usisahau Kuna Corona Virus Diseases 19 Hasa Hasa Kwenye Mikusanyiko, Serikali Kupitia Ummy Imesema Wazi Wazi Hali Ni Tete Sana
Bila picha tunakuona Kama Corona tu
π π π π π π π π π π πYaani unaweza jikuta una iphone 11 mwisho wa siku unashtuka umenunua li infinix bila kutegemea
mpaka ww unataka picha!? aiseeee