Anayedai kuwa amezaa na Hamisa Mobetto 'ashukiwa kama mwewe '

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598

Mshindi wa milioni 50 za Tanzania Movie Talent, Dennis Louis amesema mtoto wa Hamisa ni wake sio wa Diamond kama watu wanavyodai kauli ambayo imewafanya madau wengi katika mitandao ya kijamii kupingana na kauli hiyo huku wengine wakienda mbali zaidi kwa kudai kwamba ametumwa.

Muigizaji huyo amekuwa akipost vitu mbalimbali kupitia mtandao wake wa Instagram kujaribu kuthitisha kwamba mtoto huyo ni wake.

“Mengi yamesemwa nimevumilia vya kutosha mwenye mzigo nadhani mshanijua!! Kabla hamjaandika mambo zenu muwe na evidence za kutosha!!. Basi wenye wivu watasema Photoshop shubaaamit!!! [HASHTAG]#babajunior[/HASHTAG] #comingsoon” amepost picha akiwa na Hamisa,” aliandika muigizaji huyo Instagram.

Katika post nyingine yenye picha yake na Hamisa Mobetto ameandika, “Siku tuliyomtengeneza junior wetu mimi na mama Dee pale magomeni usalama. Hotel siitaji..kila mtu apambane na huba lake…kuna mwenye tatizo huko!? Kama yupo kufwaaaz you know!!,”

Hata hivyo imebainika kuwa picha zote alizoweka Dennis akiwa na Hamisa sio halisi bali zinadaiwa kutengenezwa.

Mobetto hajaweka wazi mtoto wake huyo ni wa nani huku wadai wa mambo wakidai mtoto huyo ni wa Diamond.

Haya ni maoni ya mashabiki hao.

real_monie
Anatafuta kiki kwa pikipiki @angel_zadamz tumegomaaaa!!babake twamjua!

aronmwenga
Ila mbona mtoto anamdomo km wa yule jamaa..mnyama.?au karithi kwa babuyako?

Mdeecaroline
Mhhh…. We umejiedit kabisa na hyo suti yako nyeusi… Loooh.

stelambithe
Kumbe we do mwenye mimba..

naslike_
asanteee dadiii kwakuniletea mama mremboooo tho ulificha ila asante @charles_willson

Chanzo:
Muungwana
 
Kwanini watu wana lazimisha awe wa Diamond? Hii ndio hasara ya kuvua chupi bila mpango matokeo yake Baba hajulikani....
Hahahahahahaha
Halafu binti mdogo na mrembo kama Hamisa inakuwaje mtoto ana kosa baba wa kutambulishwa?
Wanasema safari moja huanzisha nyingine....
 
Huyo mwenye mtoto anavofichwa utadhani makalio.....
Hamisa ana furahia kik kupitia diamond
 
Watu wana maneno [emoji3] [emoji3] [emoji3] eti " hilo bichwa sasa kama pande la sangara" kha [emoji23] [emoji23]

Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
 
Huyu Hamisa kwa kuendekeza kiki ataishia kuwa baby mama hivyo hivyo na hachelewi kudungwa mimba nyingine na mabazazi wa mjini...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If thats the baby then hes not Dis...

Baba yake atajwe tu.

He is very cute
 
Huyu nae Eti wamemtengeneza mtoto Hotelini Magomeni Usalama... Jamani msije kusema huyu ni wa Dar. NO! Huyu katoka Sinde, Mbeya
 
Aseeh,.. Wabongo noma sanaa,... Wakikuamulia utajuta, dogo kaamshiwa ata ajaiona dunia,... Gaddaamme
 
Mshindi wa milioni 50 za Tanzania Movie Talent, Dennis Louis amesema mtoto wa Hamisa ni wake sio wa Diamond kama watu wanavyodai kauli ambayo imewafanya madau wengi katika mitandao ya kijamii kupingana na kauli hiyo huku wengine wakienda mbali zaidi kwa kudai kwamba ametumwa.

Muigizaji huyo amekuwa akipost vitu mbalimbali kupitia mtandao wake wa Instagram kujaribu kuthitisha kwamba mtoto huyo ni wake.

“Mengi yamesemwa nimevumilia vya kutosha mwenye mzigo nadhani mshanijua!! Kabla hamjaandika mambo zenu muwe na evidence za kutosha!!. Basi wenye wivu watasema Photoshop shubaaamit!!! [HASHTAG]#babajunior[/HASHTAG] #comingsoon” amepost picha akiwa na Hamisa,” aliandika muigizaji huyo Instagram.

Katika post nyingine yenye picha yake na Hamisa Mobetto ameandika, “Siku tuliyomtengeneza junior wetu mimi na mama Dee pale magomeni usalama. Hotel siitaji..kila mtu apambane na huba lake…kuna mwenye tatizo huko!? Kama yupo kufwaaaz you know!!,”

Hata hivyo imebainika kuwa picha zote alizoweka Dennis akiwa na Hamisa sio halisi bali zinadaiwa kutengenezwa.

Mobetto hajaweka wazi mtoto wake huyo ni wa nani huku wadai wa mambo wakidai mtoto huyo ni wa Diamond.

Haya ni maoni ya mashabiki hao.

real_monie
Anatafuta kiki kwa pikipiki @angel_zadamz tumegomaaaa!!babake twamjua!

aronmwenga
Ila mbona mtoto anamdomo km wa yule jamaa..mnyama.?au karithi kwa babuyako?

Mdeecaroline
Mhhh…. We umejiedit kabisa na hyo suti yako nyeusi… Loooh.

stelambithe
Kumbe we do mwenye mimba..

naslike_
asanteee dadiii kwakuniletea mama mremboooo tho ulificha ila asante @charles_willson

Chanzo:
Muungwana
"Bright future behibd you????" Duuuh sijawahi kusikia hii!
 
Back
Top Bottom