pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Mama deuji anko [emoji202][emoji202] mooooo mama deeeew karaga baho kiki za bure mchezo mganda anawachora tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kuna watoto wabaya!!Toto zuri ... Nywele anazo ... Watoto wa hamisa wazuri jamani na nywele zao hadi raha
Snoop ndiye alisema....na alimaanisha zigo, sasa huyu huku sijui kamaanisha nini kwa hako kamalaika.."Bright future behibd you????" Duuuh sijawahi kusikia hii!
Nimebakiza msanii mashuhuri mmoja tu.
Wanawake naomba tusaidiane, unapokuwa na watoto wane kila mtu na baba yake inakuwaje? Inasikitisha.
Duuh yatasemwa mengi sana.
Mshindi wa milioni 50 za Tanzania Movie Talent, Dennis Louis amesema mtoto wa Hamisa ni wake sio wa Diamond kama watu wanavyodai kauli ambayo imewafanya madau wengi katika mitandao ya kijamii kupingana na kauli hiyo huku wengine wakienda mbali zaidi kwa kudai kwamba ametumwa.
Muigizaji huyo amekuwa akipost vitu mbalimbali kupitia mtandao wake wa Instagram kujaribu kuthitisha kwamba mtoto huyo ni wake.
“Mengi yamesemwa nimevumilia vya kutosha mwenye mzigo nadhani mshanijua!! Kabla hamjaandika mambo zenu muwe na evidence za kutosha!!. Basi wenye wivu watasema Photoshop shubaaamit!!! [HASHTAG]#babajunior[/HASHTAG] #comingsoon” amepost picha akiwa na Hamisa,” aliandika muigizaji huyo Instagram.
Katika post nyingine yenye picha yake na Hamisa Mobetto ameandika, “Siku tuliyomtengeneza junior wetu mimi na mama Dee pale magomeni usalama. Hotel siitaji..kila mtu apambane na huba lake…kuna mwenye tatizo huko!? Kama yupo kufwaaaz you know!!,”
Hata hivyo imebainika kuwa picha zote alizoweka Dennis akiwa na Hamisa sio halisi bali zinadaiwa kutengenezwa.
Mobetto hajaweka wazi mtoto wake huyo ni wa nani huku wadai wa mambo wakidai mtoto huyo ni wa Diamond.
Haya ni maoni ya mashabiki hao.
real_monie
Anatafuta kiki kwa pikipiki @angel_zadamz tumegomaaaa!!babake twamjua!
aronmwenga
Ila mbona mtoto anamdomo km wa yule jamaa..mnyama.?au karithi kwa babuyako?
Mdeecaroline
Mhhh…. We umejiedit kabisa na hyo suti yako nyeusi… Loooh.
stelambithe
Kumbe we do mwenye mimba..
naslike_
asanteee dadiii kwakuniletea mama mremboooo tho ulificha ila asante @charles_willson
Chanzo: Muungwana
Jehanam yetu wallah.Yupo mmoja nafanya nae kazi ana watoto wanne na baba wanne yuko very happy
Mkuu naomba no ykeYupo mmoja nafanya nae kazi ana watoto wanne na baba wanne yuko very happy