Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Wewe unao???Una ushahidi???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unao???Una ushahidi???
DuuuhMbona maelezo yamebadilika. Mwanzoni story ilisema kuwa jamaa aliingia ndani mke akamfuata walumbana kisha jamaa akatoka kwa maana ya kumuacha mwanamke chumbani akielekea sebuleni mwanamke akamfuata akimvuta shati akitaka amsihi wazungumze.
Hapa tayari inatoa picha mwanamke hakujipa akili ya kumuacha jamaa hasira zimshuke pengine angeweza kudeescalate situation isingekuwa sensitive.
Imagine umegundua mwanamke wako anacheat una ushahidi wote. Umetoka huko na hasira kifuani unafika unamuuliza anakujibu kuwa hakuna kinachoendelea yaani ile kama anaongea na mtoto. Unakuwa mkali zaidi unamuwakia akwambie ukweli anakataa kabisa kata kata hakuna kilichotokea.
Unamuonyesha ushahidi wa wazi anabadili gear na kuanza kuomba msamaha huku akijiliza. Sasa matokeo yake mtu anatoka kwa hasira maana anaona huu ni upuuzi. Mwanamke ndipo anamshika shati kumvuta jamaa anashindwa jizuia hasira zimezidi akili anajikuta ameshafanya mambo ya ajabu.