Anayedaiwa kumuua Tupac Shakur akamatwa

Anayedaiwa kumuua Tupac Shakur akamatwa

Hata kwenye kitabu chake kafunguka
Nahisi karma inamhusu

Ova
Naona damu ya Tupac ilikuwa inampa shida huyu jamaa. Yaani alikuwa anaelezea uhalifu alioshiriki kwenye TV. LVPD wasingeeleweka kama wangebaki kimya.
 
kwa mantiki hiyo serikali haiusiki, eastcoast haiusiki wala suge knight kifupi zilikuwa rumors
 
Hiyo ndio Marekani. Hata miaka 50 watakudaka tu
Huyu aliamua kujitaja mwenyewe, pia hakuua yeye bali alipanga mipango na kutoa bunduki iliyotumika, all in all nahisi jamaa anatafuta kiki za kishamba
 
Suge has refused to testify against him.
He is trying to keep the street code "don't snitch"
He is a blood and Keffe Dee is a clip
 
Back
Top Bottom