Anayedaiwa kuwa Mpenzi wa Rais Putin mbioni kuwekewa vikwazo na EU

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Umoja wa Ulaya (EU) unadhamiria kuendeleza vikwazo dhidi ya Urusi, na orodha ya sita ya vikwazo vinavyozingatiwa inamjumuisha Alina Kabaeva ambaye kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa na Rais Vladimir Putin

Japokuwa Maisha binafsi ya Rais Putin yamekuwa yakilindwa kwa kiwango kikubwa, Alina anadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Rais huyo. Ripoti nyingine zinadai wawili hai wana Watoto

Alina alianza kuhusishwa na Putin takriban miaka 10 iliyopita wakati alipokuwa Mwanamichezo. Hata hivyo, Putin amekataa kuwa na uhusiano naye

=======

Alina Kabaeva, a former Russian gymnast who has long been closely linked to Vladimir Putin, has been added to a sixth package sanctions being considered by the European Union.

The Russian leader's private life is closely guarded but she is rumoured to be his girlfriend. Putin denied that initially but reports say she has since given birth to his children.

Two sources have told the BBC in Brussels that she's on the European Commission's sanctions list. That's because of her role as chair of Russia's National Media Group, a TV and media empire with holdings in various channels and websites.

The US has already targeted the assets of two of Putin's daughters by his first marriage, but has not acted against Kabaeva.

While the EU's 27 states are involved in difficult negotiations on other parts of the sanctions package, chiefly on the timing of a ban on Russian oil imports, the proposals targeting dozens of Russian individuals are less controversial. If they go through, those involved would face a ban on entering the EU as well as an assets freeze.

Source: BBC
 
... mpenzi wa Putin anaishi Switzerland badala ya Moscow au Pyongyang. Kim utotoni alikulia na kusomea Switzerland badala ya Pyongyang, Moscow, au Tehran. Makomunisti yanachekesha sana.
 
Sasa Putin na Uzee wake wa Miaka 70 bado anampenzi huku Wakati Hana hata Mke. Hii ikoje jamani? Au jamaa Ni Gay Nini? Yale Mambo ya LBGTQ? Wajuvi leteni Ufafanuzi.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
EU kimekuwa kichwa cha mwendawazimu sasa mpenzi wake anahusika vipi na maamuzi ya nchi anayoyatoa putin..! Tena yasemekana!
Kuna mwaka wa uchaguzi wa Kenya ambao ulisababisha Raila na Uhuru wagombane kiasi kwamba yakazuka machafuko. Wote wawili, Raila na Uhuru, wakagoma kukaa meza ya makubaliano machafuko yakawa yanaendelea.

Wanawake wa Kenya kwa umoja wao wakaamua ya kwamba hawatosex na mwanaume yeyote humo Kenya mpaka Raila na Uhuru wakae mezani wayamalize. Za chini chini zinadai kwamba huu mgomo uliasisiwa na First Lady, hata wanawake wanaojiuza kwenye yale madanguro yao maarufu ya SJ and the like wakawa wanalipwa per day ili wasijiuze.

Hata miezi miwili haikuisha Uhuru na Raila wakakaa chini wakamaliza ishu zao na mambo yakarudi kama zamani.

Nimekupa mfano huu ili upate picha ni kwanini hata mpenzi anawekewa vikwazo. Basically, yeyote anayeweza kukupressure kufanya maamuzi au unayeweza kumtumia kukupa ahueni ya vikwazo na yeye atawekewa vikwazo.
 
Screenshot_20220507-103545_Chrome.jpg
 
... mpenzi wa Putin anaishi Switzerland badala ya Moscow au Pyongyang. Kim utotoni alikulia na kusomea Switzerland badala ya Pyongyang, Moscow, au Tehran. Makomunisti yanachekesha sana.
Ww uliekua si mkomunist umelisaidia nini taifa lako badala ya kutujazia mavi mengi katika ardhi yetu pendwa??
 
EU kimekuwa kichwa cha mwendawazimu sasa mpenzi wake anahusika vipi na maamuzi ya nchi anayoyatoa putin..! Tena yasemekana!
Mashoga utawajua tu, wameona Putin hakubali hizo habari wanaumia sana
 
... mpenzi wa Putin anaishi Switzerland badala ya Moscow au Pyongyang. Kim utotoni alikulia na kusomea Switzerland badala ya Pyongyang, Moscow, au Tehran. Makomunisti yanachekesha sana.
Mbona haushangai Biden na familia yake kuwekeza matrilion ya pesa china , na mengine urusi pia mbona haushangai Elon musk kufungua kiwanda cha magari ya umeme Shanghai china badala ya u.s.a mbona haushangai i.phone kuwa assembled china mbona haushangai takribani 40% ya viwanda vya u.s.a na ulaya vipo china na Vietnam ambayo ni mataifa ya kikomunisti amabao wewe unawaita washenzi Ila wamarekani na ulaya hawajawaona washenzi ndio maana wanasain mikataba ya construction pamoja na ushirikiano wa kibiashara na hao hao wakomunisti

#Think before you judge [emoji848][emoji16]
 
Umoja wa Ulaya (EU) unadhamiria kuendeleza vikwazo dhidi ya Urusi, na orodha ya sita ya vikwazo vinavyozingatiwa inamjumuisha Alina Kabaeva ambaye kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa na Rais Vladimir Putin

Japokuwa Maisha binafsi ya Rais Putin yamekuwa yakilindwa kwa kiwango kikubwa, Alina anadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Rais huyo. Ripoti nyingine zinadai wawili hai wana Watoto

Alina alianza kuhusishwa na Putin takriban miaka 10 iliyopita wakati alipokuwa Mwanamichezo. Hata hivyo, Putin amekataa kuwa na uhusiano naye

=======

Alina Kabaeva, a former Russian gymnast who has long been closely linked to Vladimir Putin, has been added to a sixth package sanctions being considered by the European Union.

The Russian leader's private life is closely guarded but she is rumoured to be his girlfriend. Putin denied that initially but reports say she has since given birth to his children.

Two sources have told the BBC in Brussels that she's on the European Commission's sanctions list. That's because of her role as chair of Russia's National Media Group, a TV and media empire with holdings in various channels and websites.

The US has already targeted the assets of two of Putin's daughters by his first marriage, but has not acted against Kabaeva.

While the EU's 27 states are involved in difficult negotiations on other parts of the sanctions package, chiefly on the timing of a ban on Russian oil imports, the proposals targeting dozens of Russian individuals are less controversial. If they go through, those involved would face a ban on entering the EU as well as an assets freeze.

Source: BBC
EU wamepagawa mpaka michepuko nao vikwazo
 
Mbona haushangai Biden na familia yake kuwekeza matrilion ya pesa china , na mengine urusi pia mbona haushangai Elon musk kufungua kiwanda cha magari ya umeme Shanghai china badala ya u.s.a mbona haushangai i.phone kuwa assembled china mbona haushangai takribani 40% ya viwanda vya u.s.a na ulaya vipo china na Vietnam ambayo ni mataifa ya kikomunisti amabao wewe unawaita washenzi Ila wamarekani na ulaya hawajawaona washenzi ndio maana wanasain mikataba ya construction pamoja na ushirikiano wa kibiashara na hao hao wakomunisti

#Think before you judge [emoji848][emoji16]
... huko wamewekeza; wanatafuta pesa sio kuishi.
 
Back
Top Bottom