Anayedaiwa kuwa Mpenzi wa Rais Putin mbioni kuwekewa vikwazo na EU

Anayedaiwa kuwa Mpenzi wa Rais Putin mbioni kuwekewa vikwazo na EU

EU kimekuwa kichwa cha mwendawazimu sasa mpenzi wake anahusika vipi na maamuzi ya nchi anayoyatoa putin..! Tena yasemekana!
ila wanaokufa ukraine ni haki yao ?
 
... mpenzi wa Putin anaishi Switzerland badala ya Moscow au Pyongyang. Kim utotoni alikulia na kusomea Switzerland badala ya Pyongyang, Moscow, au Tehran. Makomunisti yanachekesha sana.
hata hawa teamPutin ukiwapa ofa hapa , akili zipo newyork city na sio Moscow
 
Mbona haushangai Biden na familia yake kuwekeza matrilion ya pesa china , na mengine urusi pia mbona haushangai Elon musk kufungua kiwanda cha magari ya umeme Shanghai china badala ya u.s.a mbona haushangai i.phone kuwa assembled china mbona haushangai takribani 40% ya viwanda vya u.s.a na ulaya vipo china na Vietnam ambayo ni mataifa ya kikomunisti amabao wewe unawaita washenzi Ila wamarekani na ulaya hawajawaona washenzi ndio maana wanasain mikataba ya construction pamoja na ushirikiano wa kibiashara na hao hao wakomunisti

#Think before you judge [emoji848][emoji16]
cheap labour
 
Kuna mwaka wa uchaguzi wa Kenya ambao ulisababisha Raila na Uhuru wagombane kiasi kwamba yakazuka machafuko. Wote wawili, Raila na Uhuru, wakagoma kukaa meza ya makubaliano machafuko yakawa yanaendelea.

Wanawake wa Kenya kwa umoja wao wakaamua ya kwamba hawatosex na mwanaume yeyote humo Kenya mpaka Raila na Uhuru wakae mezani wayamalize. Za chini chini zinadai kwamba huu mgomo uliasisiwa na First Lady, hata wanawake wanaojiuza kwenye yale madanguro yao maarufu ya SJ and the like wakawa wanalipwa per day ili wasijiuze.

Hata miezi miwili haikuisha Uhuru na Raila wakakaa chini wakamaliza ishu zao na mambo yakarudi kama zamani.

Nimekupa mfano huu ili upate picha ni kwanini hata mpenzi anawekewa vikwazo. Basically, yeyote anayeweza kukupressure kufanya maamuzi au unayeweza kumtumia kukupa ahueni ya vikwazo na yeye atawekewa vikwazo.
Tatizo hujaelewa. Hawajasema demu wa Putin atazuiwa kutoa huduma kwa mzee.
 
Usikute mabeberu wa USA na EU walimdadisi sana huyo demu wa Putin kuwapatia taarifa za kiintelejesia jinsi ya kumshinda Putin kupitia madhaifu yake lakini demu kagoma kutoa ushirikiano basi imebidi wamjambishe mkwara wa nguvu haswaa [emoji16]
 
... mpenzi wa Putin anaishi Switzerland badala ya Moscow au Pyongyang. Kim utotoni alikulia na kusomea Switzerland badala ya Pyongyang, Moscow, au Tehran. Makomunisti yanachekesha sana.
Wanayotenda hayaendeani na wanayohubiri, mengine yameficha pesa huko kwenye mabenki ya ulaya.
Drifter Yoda
 
Back
Top Bottom