Anayedhaniwa kuwa Sugu asimamishwa na wasiojulikana leo, haijulikana kama yupo sawa au la

Anayedhaniwa kuwa Sugu asimamishwa na wasiojulikana leo, haijulikana kama yupo sawa au la

Hawa jamaa soon watakua kama RSF kule sudan ngoja tuone mdogo mdogo hivi hivi
 
Mbona mimi haichezi,nifanyeje?
Mungu atashusha pigo
 
Mbona mimi haichezi,nifanyeje?
Mungu atashusha pigo
 
Sasa kwani Sugu kafanyaje,mbona viongoz wa chadema wameshaufyata au ndo wamekosa wa kudili nae
 
T 578 DZQ

RAISI WA MBEYA HAWEZI AKADHARIRISHWA KIFALA HIVYO,TUKUTANE TAREHE 9.
 
20251118_235552.jpg

Update kutoka kwa sugu
 
Sugu kathibitisha yupo salama, but still ni nani huyo aliyechukuliwa hapo?
 
Back
Top Bottom