Anayefahamu bei ya windscreen anisaidie

Anayefahamu bei ya windscreen anisaidie

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
6B920AE9-E2B9-43E7-824D-130AF02C627C.jpeg


Jana ilikuwa siku mbaya kwangu baada ya mtoto wa jirani kufanya hii kazi hapo juu. Naomba clue kwa anaefahamu bei ya windscreen kwa sasa ni Tsh. ngapi maana tuko kwenye negotiation na mzazi wake kwa sasa ili kipengele cha “indemnity” kichukue nafasi yake.
 
Kioo peke yake sio chini ya laki tano, bado ufundi na kadhalika
 
View attachment 1313594
Jana ilikuwa siku mbaya kwangu baada ya mtoto wa jirani kufanya hii kazi hapo juu. Naomba Clue kwa anaefahamu bei ya windscreen kwa sasa ni Tsh. Ngapi maana tuko kwenye negotiation na mzazi wake kwa sasa ili kipengele cha “indemnity” kichukue nafasi yake.
Kioo cha gari gani? Cha IST sio Sawa na Prado
 
Pole Sana mkuu..
Nenda pale Kariakoo nyuma ya kituo cha fire karibu na hospital ya Dr hameel utapata....
 
Back
Top Bottom