Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Jana ilikuwa siku mbaya kwangu baada ya mtoto wa jirani kufanya hii kazi hapo juu. Naomba clue kwa anaefahamu bei ya windscreen kwa sasa ni Tsh. ngapi maana tuko kwenye negotiation na mzazi wake kwa sasa ili kipengele cha “indemnity” kichukue nafasi yake.