Anayefahamu biashara ya dagaa Kisiwa cha Mulumo, Muleba

Anayefahamu biashara ya dagaa Kisiwa cha Mulumo, Muleba

Ndege Tausi

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
992
Reaction score
472
Anayefahamu biashara ya dagaa inavofanyika kisiwani Mulumo, wilayani Muleba aje anielezee tafadhali.

Nataka kujitosa huko.
 
Nenda huko huko kisiwani kakae 5dys usome mchezo uone vipimo vyao then utaamua wewe

Note! Kuna dagaa sio za kuuzia kila mkoa!
 
Back
Top Bottom