Anayefahamu jina la huu wimbo naomba anijuze

Anayefahamu jina la huu wimbo naomba anijuze

Download shazam app alafu iweke idetect jina la wimbo automatic then play huo wimbo,italeta jina
 
Beats za pat shange

Video 🤷🏽‍♂️
 
Hapo umeongelea ip chief
Namaanisha hiyo video uliyopost beat yake haina video!! So sijajua unataka kujua kuhusu hiyo beat au hiyo video?? Manake video hiyo imeunganishwa tu kwenye beat hiyo!! Na hiyo video ina wimbo wake
 
Mimi kuna wimbo mmoja snoop kashirikidhwa wa zaman kidgo una beat flan iv ndiii ndiiiii ndi ndiii ndiii ndiiii
Da da da da da
It's the motherfuckin' D-O-double-G [emoji1] hiyo nyimbo inaitwa next episode
 
Back
Top Bottom