Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

Oh
 
Lakini halina teamwork! Hubagua hadhi ya waumini
how? tabu wengi mnamaumivu ya ndani hatuwezi kuwa wote wachungaji kila mtu anakalama tofauti hivi ukiwa na duka unaweza kumruhusu kila mtu auze duka lako? au je uko tayari kufanya shirika na ndoa yako kiasi cha mkeo kulala kwa mwanaume mwingine? we ingia jiunganishe na MUNGU kisha kachape kazi.
 
Jibu swali uliza swali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ujanja ujanja wote mfukoni!

Hapo amesema msilewe kwa mvinyo sio msinywe mvinyo (Tofautisha kulewa kwa mvinyo wenye ufisadi na kunywa mvinyo,Ni vitu viwili tofauti! Unaweza ukalewa kwa madaraka,chakula...n.k kulewa maana yake kutumia kupita kiasi)
 
Kwanini aliambiwa atumie kwa magonjwa yampatayo na si kwaajili ya starehe?

Waefeso 4:27
Wala msimpe Ibilisi nafasi.
 
Hakuna kitu humo
Kipindi nipo advance kuna haya makanisa mawili niliyaelewa vyema(kwa upande wangu )maana waumini wake nilivyokuwa nawaona wapo vyema sana
1.Reformers SDA
2.Full gospel[emoji846]
 
Kwanini aliambiwa atumie kwa magonjwa yampatayo na si kwaajili ya starehe?

Waefeso 4:27
Wala msimpe Ibilisi nafasi.
Kwenye harusi ya Kana wahudhuriaji walikuwa wagonjwa??


Yoh 2:21

Siku ya tatu kulikuwa na harusi mjini Kana, mkoani Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo, naye Yesu alikuwa amealikwa harusini pamoja na wanafunzi wake. Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!” Yesu akamjibu, “Mama, usiniambie la kufanya. Saa yangu bado.” Hapo mama yake akawaambia watumishi, “Lolote atakalowaambieni, fanyeni.” Hapo palikuwa na mitungi sita ya mawe, ambayo kila mmoja uliweza kuchukua kiasi cha madebe mawili au matatu. Ilikuwa imewekwa hapo kufuatana na desturi ya Kiyahudi ya kutawadha. Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu. Kisha akawaambia, “Sasa choteni mkampelekee mkuu wa karamu.” Mkuu wa karamu alipoonja hayo maji, kumbe yalikuwa yamegeuka kuwa divai. Yeye hakujua ilikotoka, (lakini wale watumishi waliochota maji walijua). Mkuu wa karamu akamwita bwana arusi, akamwambia, “Kila mtu huandaa divai nzuri kwanza hata wakisha tosheka huandaa ile hafifu. Lakini wewe umeiweka divai nzuri mpaka sasa!” Yesu alifanya ishara hii ya kwanza huko Kana, Galilaya, akaonesha utukufu wake; nao wanafunzi wake wakamwamini.
 
Kuna fermented wine ambayo hulevya na unfermented wine ambayo ni kama juice tu. Unadhani muujiza wa Yesu ulileta ipi kati ya hizo aina mbili pale Kana?
 
Kuna fermented wine ambayo hulevya na unfermented wine ambayo ni kama juice tu. Unadhani muujiza wa Yesu ulileta ipi kati ya hizo aina mbili pale Kana?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Walokole bhana eti fermented na unfermented [emoji1787] kwa hiyo Biblia inasema Yesu akageuza maji kuwa "fermented wine?" Au unajiongeza kwa kuwa wewe ni mjuaji kuliko Biblia yenyewe [emoji119] mbona kwenye aya zingine za Biblia haujiongezi [emoji1787] au unajiongeza kuadjust kidogo kule ambapo panakufavor[emoji119]
 
Biblia haisomwi kama gazeti
 
Ungegeuzwa chuma ulete[emoji16][emoji16][emoji16]

Btw mkuu hongera kwa gari

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Naamin 75% ya wakristu huwa hawaelewi juu ya hii kauli alimaanisha Yesu alikuwa akimaanisha nini. Ndio maana wengi wanaopenda kuitumia huwa wanaishia mstari wa 18 au 19
Hayo ni juu yako mkuu. Njoo tunywe bia mkuu[emoji23][emoji91][emoji91][emoji91] sisi huwaga hatuna shida ndogo ndogo... we pambana na imani yako. Sisi tunaipenda wenyewe..
 
Ufufuo na uzima litakufaa tena askofu wake ni dr na anafufua na ni mwanasiasa na ni mchambaji mzuri nan akuzingue asifukunyue mafaili akuchambie adi uhisi umefika peponi
Alimfufua nani ambaye anajulikana hapa Bongo?
 
Nendeni na Amaaaaniii Haleluuuyaaaah
Haleeeeeluyaaaaaaaaaa..

Tumshukuru Mungu Haleluuuuuyaaaaa
Haleeeeeeluuuyaaaaaaaa[emoji847][emoji847]

Nimemkumbukaaaa paroko Riziki na Askofu Amedeusi Msarikie....
Nilikuaga naimba na padre kwa navyopendaaa. Na ningezaliwa wa kiume ningekuwa padre[emoji4]
nenda uraya, pemba, kenya, usa, mbagala ibada ni uniform na misingi ni ile ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…