Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

No 8 kwahiyo wanaokwenda makanisani ni mataahira ? Hata wasiokuwa na akili timamu wanaenda na wanapokea uponyaji Mungu anawahitaji waliopondeka mioyo elewa hilo
Kusali ni muhimu, lakini baadhi ya tabia na sheria za baadhi ya makanisa yanachangia sana kuvunja moyo watu kuabudu.

Naomba mwenye kujua kanisa lolote lenye sifa zifuatazo ili nijiunge;
  1. Liwe ni kanisa la kikristu
  2. Liwe na mfumo wa kitaasisi (yaani management iwe kimfumo wa kitaasisi)
  3. Liwe linapatikana angalau kila wilaya/mkoa
  4. Misingi ya waumini wake iwe ni ile ya teamwork (umoja bila kubagua masikini au tajiri hususani wakati wa matatizo ya mmoja mmoja)
  5. Liwe ni kanisa lisilotegemea uwepo wa mchungaji/kiongozi mmoja
  6. Liwe ni kanisa lenye ratiba maalum ya kuzingatiwa (standards)
  7. Liwe ni kanisa linalojali malezi ya watoto kiroho
  8. Liwe ni kanisa la watu wenye akili timamu.
  9. Liwe ni kanisa lenye kupenda haki, usawa na uwazi
  10. Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
Yoyote anayefahamu kanisa lenye hizo sifa anifahamishe!! Natafuta kanisa la kujiunga!
 
Mashahidi wa Yehova..kanisa moja matata sana,wapo so smart,ustaarabu wa mbele mbele huko,usitarajie kufundishwa Mambo ya Uswazi like that..utanishukuru
 
Kusali ni muhimu, lakini baadhi ya tabia na sheria za baadhi ya makanisa yanachangia sana kuvunja moyo watu kuabudu.

Naomba mwenye kujua kanisa lolote lenye sifa zifuatazo ili nijiunge;
  1. Liwe ni kanisa la kikristu
  2. Liwe na mfumo wa kitaasisi (yaani management iwe kimfumo wa kitaasisi)
  3. Liwe linapatikana angalau kila wilaya/mkoa
  4. Misingi ya waumini wake iwe ni ile ya teamwork (umoja bila kubagua masikini au tajiri hususani wakati wa matatizo ya mmoja mmoja)
  5. Liwe ni kanisa lisilotegemea uwepo wa mchungaji/kiongozi mmoja
  6. Liwe ni kanisa lenye ratiba maalum ya kuzingatiwa (standards)
  7. Liwe ni kanisa linalojali malezi ya watoto kiroho
  8. Liwe ni kanisa la watu wenye akili timamu.
  9. Liwe ni kanisa lenye kupenda haki, usawa na uwazi
  10. Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
Yoyote anayefahamu kanisa lenye hizo sifa anifahamishe!! Natafuta kanisa la kujiunga!
Winners Chapel International .... a.k.a Living Faith Church
 
Maria sio Bikira wewe

Bikira hubomoka kwa njia mbili kuu

Kwa Bikira Kuingiliwa na mwanaume au kwa kuzaa
Maria alimzaa Yesu na Yesu kutoka Tumboni azaliwe duniani Bikira ilibomoka wakati anatoka!! Baada ya kuzaa Yesu hakuna Bikira ilibaki.Kaulize mkunga yeyote
[emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Kusali ni muhimu, lakini baadhi ya tabia na sheria za baadhi ya makanisa yanachangia sana kuvunja moyo watu kuabudu.

Naomba mwenye kujua kanisa lolote lenye sifa zifuatazo ili nijiunge;
  1. Liwe ni kanisa la kikristu
  2. Liwe na mfumo wa kitaasisi (yaani management iwe kimfumo wa kitaasisi)
  3. Liwe linapatikana angalau kila wilaya/mkoa
  4. Misingi ya waumini wake iwe ni ile ya teamwork (umoja bila kubagua masikini au tajiri hususani wakati wa matatizo ya mmoja mmoja)
  5. Liwe ni kanisa lisilotegemea uwepo wa mchungaji/kiongozi mmoja
  6. Liwe ni kanisa lenye ratiba maalum ya kuzingatiwa (standards)
  7. Liwe ni kanisa linalojali malezi ya watoto kiroho
  8. Liwe ni kanisa la watu wenye akili timamu.
  9. Liwe ni kanisa lenye kupenda haki, usawa na uwazi
  10. Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
Yoyote anayefahamu kanisa lenye hizo sifa anifahamishe!! Natafuta kanisa la kujiunga!
 
Kusali ni muhimu, lakini baadhi ya tabia na sheria za baadhi ya makanisa yanachangia sana kuvunja moyo watu kuabudu.

Naomba mwenye kujua kanisa lolote lenye sifa zifuatazo ili nijiunge;
  1. Liwe ni kanisa la kikristu
  2. Liwe na mfumo wa kitaasisi (yaani management iwe kimfumo wa kitaasisi)
  3. Liwe linapatikana angalau kila wilaya/mkoa
  4. Misingi ya waumini wake iwe ni ile ya teamwork (umoja bila kubagua masikini au tajiri hususani wakati wa matatizo ya mmoja mmoja)
  5. Liwe ni kanisa lisilotegemea uwepo wa mchungaji/kiongozi mmoja
  6. Liwe ni kanisa lenye ratiba maalum ya kuzingatiwa (standards)
  7. Liwe ni kanisa linalojali malezi ya watoto kiroho
  8. Liwe ni kanisa la watu wenye akili timamu.
  9. Liwe ni kanisa lenye kupenda haki, usawa na uwazi
  10. Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
Yoyote anayefahamu kanisa lenye hizo sifa anifahamishe!! Natafuta kanisa la kujiunga!
Mimi sikushauri juu ya kanisa lipi...ila ushauri wangu ni kukuhimiza kuomba mungu huyo wa YESU Kristo akuonyeshe pa kusali...kwa kipindi cha sasa...hali ya imani imekuwa tata sana kujua wapi panafaa...ila ukimwomba mwenye kanisa(YESU) atakuongoza maana pekee ndio anauchungu na roho yako..sie wengine humu ni marketing officers wa madini yetu..hatuna pa kukupele siku ya mwisho...OMBA MUNGU na atakuunganisha na mahali sahihi kwako.
 
Mimi sikushauri juu ya kanisa lipi...ila ushauri wangu ni kukuhimiza kuomba mungu huyo wa YESU Kristo akyinyeshe pa kusali...kwa kipindi cha sasa...hali ya imani imekuwa tata sana kujua wapi panafaa...ila ukimwomba mwenye kanisa(YESU) atakuongoza maana pekee ndio anauchungu na roho yako..sie wengine humu ni marketing officers wa madini yetu..hatuna pa kukupele siku ya mwisho...OMBA MUNGU na atakuunfanisha na mahali sahihi kwako.
Uko sahihi kwa sasa mtu lazima aombe mwenye Kanisa Yesu mwenyewe amuonyeshe pa kusali na ataonyesha .Hali si nzuri
 
Mkristo wa kweli ni lzm alitaje jina la YESU KILA amalizapo kuomba na sio mungu wa ...,madhabau ya...anatajwa mtume au nabii.Hapo ni chaka.Mponyanyi ni Mungu Jehovah kupitia YESU Kristo wa Nazareth mfufuka.
 
Chochote mtakachoomba kwa jina langu (YESU) mtapewa.Ukiona mchungaji nabii anakwepa Sana kulitaja jina la YESU au wale wenye mabogigadi hadi kwenye madhabau wale ulinda mtu asipite nyuma ya mchungaji nabii au mtume ndipo ilipo nguvu yake ya uchawi.Maji ya upako ni maji ya kuoshea maiti,mafuta ya upako ni mafuta ya watoto wachanga au sehemu za Siri za wanawake zilizochomwa kitaalamu yakapatikana matone ya mafuta kisha unenewa maneno ya kichawi kisha uchanganywa na mafuta ya mizeituni au mafuta ya kula kwa malengo maalumu ya kipepo.So hata shetani yupo kanisani.
 
usizunguke zunguke ndugu.. Njoo tuungame ubatizo mmoja wa maondoleo ya dhambi,tusubirie ufufuko wa wafu na uzima wa milele ijayo.
Mwanakondoo wa Mungu aondoaye dhambi za ulimwengu atakuhurumia

Bwana awe nanyi nyote....[emoji7]
 
Back
Top Bottom