Kanisa la Waadventista Wasabato(SDA) mchungaji asipokuwepo wanashika zamu wazee wa kanisa, lipo kila mtaa na karibu kila nchi ulimwenguni, malezi ya watoto ni ya hali ya juu.. kuanzia akiwa tumboni(miaka 0-3) wavumbuzi, watafuta njia na vijana wakubwa. Sadaka mnasomewa mchanganuo.. asilimia kadhaa zinaenda ngazi za union,divishen,conferensi kuu ya ulimwengu huku kiasi kinabaki kanisani, wachungaji wanalipwa mshahara na ngazi ya ulimwengu na si pesa inayokusanywa kwenye ibada.
Hakuna ubaguzi na ni kanisa la haki.. waumini wanatembeleana na kusaidiana kwa hali na mali kupitia vikundi vidogo vidogo tunaita vikosi vinavyoundwa kutokana na mtaa mnaoishi.. karibu