MWA 19:20
Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu; 21akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake. 22Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje. 23Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.
Mwisho wa kunukuu
Aisee Divai yako inalewesha bhn [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah haya madhehebu mnapotolea mafundisho yenu si bure mnakufa mkikanyagana kupata mafuta ya upako,Wengi elimu kichwani ni sifuri! Hamna misingi ya imani.Nadhani mtoa maada mpaka sasa atakuwa ameshatambua kanisa sahihi la kujiunga labda aamue tu kushupaza shingo!