Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

Kanisa ambalo linauwazi wa fedha na matumizi yake na siyo usiri ambao anaujua Mchungaji, mkewe na watoto wao tu [emoji108][emoji108][emoji4]
 
Kuna fermented wine ambayo hulevya na unfermented wine ambayo ni kama juice tu. Unadhani muujiza wa Yesu ulileta ipi kati ya hizo aina mbili pale Kana?
Wew nawe kama ulikuwepo?


We kunywa pombe bwana but kunywa Kwa kiasi .


Kwenye kanisa katoliki pombe sio dhambi Bali ni mzizi wa dhambi. Kwa inaweza kukuingiza dhambini hivyo haikatazai but inywewe Kwa kujicontrol
 
Wew nawe kama ulikuwepo?


We kunywa pombe bwana but kunywa Kwa kiasi .


Kwenye kanisa katoliki pombe sio dhambi Bali ni mzizi wa dhambi. Kwa inaweza kukuingiza dhambini hivyo haikatazai but inywewe Kwa kujicontrol
Kama unajua kuwa pombe ni mzizi wa dhambi kwaninj ikuhadae?

Vitu vyote ni halali ila si vyote vifaavyo
 
Fungua lako litakuwa na sifa hizo unazozitaka.
 
Kwanini aliambiwa atumie kwa magonjwa yampatayo na si kwaajili ya starehe?
hii inapatikana kwenye Biblia

1 Tim 5:23​

Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.

Na aliambiwa hivyo kwa sababu dawa nyingi huwa na Alcohol ndani ya dawa hizo mfano za usingizi,za nusu kaputi nk

Wangegoma kunywa dawa yeyote yenye alcohol ndani sababu ni marufuku kunywa pombe

Ndio akasema kutumia kidogo kama tiba ya magonjwa sababu ndani ya hizo dawa huwemo kiasi kidogo

Hakuhalisha pombe kwa ajili ya starehe

Mvino agano jipya hauruhusiwi kunywa
 
Makanisa yenye sifa ulizozitaja hapa yapo mengi mno, na karibia makanisa yote yanazo sifa hizo. Hata hivyo kwa mimi, ningependekeza uripotii mara moja KKKT Mbezi Beach. Being there, I guess you are likely to get more than what you expect
Ubarikiwe na Bwana!
 
Kwanini wanapingana na Marko7:17-23 na wakolosai2:16?
 
Kwanini 1.Ubatizo n wa maji mafupi tofaut na Biblia? 2.Kwanini wanadanganya kuwa kuna moto wa milele(Warumi6:7 na 6:23)? 3.Kwanini wanatumia sanamu(Kutoka20:4,5)?
 
Biblia inasema sala inapaswa kwenda kwa Mungu kupitia Yesu Kristo tu( Yohana14:6) sasa kwanini mnamuhusisha Maria ni wapi Biblia inasema tusal kuptia Maria?
 
Biblia inakataza ulevi na sio kunywa pombe!.Je unataka kuniambia Biblia inapokataza kula kupita kias inamaanisha ni dhambi kula? Soma Luka21:34. Ukisoma Zaburu104:14,15,utaona pombe n kiburudisho,anachokataza Mungu ni ulevi sio pombe
 
Biblia inakataza ulevi na sio kunywa pombe!.Je unataka kuniambia Biblia inapokataza kula kupita kias inamaanisha ni dhambi kula? Soma Luka21:34. Ukisoma Zaburu104:14,15,utaona pombe n kiburudisho,anachokataza Mungu ni ulevi sio pombe
 
Embu njoo hapa parokiani kwetu,upate ubatizo na kipaimara na ndoa papo hapo maana katoliki ni taasisi inayokufaa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…