Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Kanisa ambalo linauwazi wa fedha na matumizi yake na siyo usiri ambao anaujua Mchungaji, mkewe na watoto wao tu [emoji108][emoji108][emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew nawe kama ulikuwepo?Kuna fermented wine ambayo hulevya na unfermented wine ambayo ni kama juice tu. Unadhani muujiza wa Yesu ulileta ipi kati ya hizo aina mbili pale Kana?
Kama unajua kuwa pombe ni mzizi wa dhambi kwaninj ikuhadae?Wew nawe kama ulikuwepo?
We kunywa pombe bwana but kunywa Kwa kiasi .
Kwenye kanisa katoliki pombe sio dhambi Bali ni mzizi wa dhambi. Kwa inaweza kukuingiza dhambini hivyo haikatazai but inywewe Kwa kujicontrol
Msingi wa imani yako ni upi?Umeishiwa hoja.Imani yako inatetereka haina misingi kutokana na elimu na uelewa mdogo.
Matendo yote unayotenda yanaweza kuwa mzizi wa dhambiKama unajua kuwa pombe ni mzizi wa dhambi kwaninj ikuhadae?
Vitu vyote ni halali ila si vyote vifaavyo
Fungua lako litakuwa na sifa hizo unazozitaka.Kusali ni muhimu, lakini baadhi ya tabia na sheria za baadhi ya makanisa yanachangia sana kuvunja moyo watu kuabudu.
Naomba mwenye kujua kanisa lolote lenye sifa zifuatazo ili nijiunge;
Yoyote anayefahamu kanisa lenye hizo sifa anifahamishe!! Natafuta kanisa la kujiunga!
- Liwe ni kanisa la kikristu
- Liwe na mfumo wa kitaasisi (yaani management iwe kimfumo wa kitaasisi)
- Liwe linapatikana angalau kila wilaya/mkoa
- Misingi ya waumini wake iwe ni ile ya teamwork (umoja bila kubagua masikini au tajiri hususani wakati wa matatizo ya mmoja mmoja)
- Liwe ni kanisa lisilotegemea uwepo wa mchungaji/kiongozi mmoja
- Liwe ni kanisa lenye ratiba maalum ya kuzingatiwa (standards)
- Liwe ni kanisa linalojali malezi ya watoto kiroho
- Liwe ni kanisa la watu wenye akili timamu.
- Liwe ni kanisa lenye kupenda haki, usawa na uwazi
- Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
Je, ulimpokea Roho Mtakatifu ulipookoka ili akuwezeshe kushinda hizo dhambi?Matendo yote unayotenda yanaweza kuwa mzizi wa dhambi
hii inapatikana kwenye BibliaKwanini aliambiwa atumie kwa magonjwa yampatayo na si kwaajili ya starehe?
Makanisa yenye sifa ulizozitaja hapa yapo mengi mno, na karibia makanisa yote yanazo sifa hizo. Hata hivyo kwa mimi, ningependekeza uripotii mara moja KKKT Mbezi Beach. Being there, I guess you are likely to get more than what you expectKusali ni muhimu, lakini baadhi ya tabia na sheria za baadhi ya makanisa yanachangia sana kuvunja moyo watu kuabudu.
Naomba mwenye kujua kanisa lolote lenye sifa zifuatazo ili nijiunge;
Yoyote
- Liwe ni kanisa la kikristu
- Liwe na mfumo wa kitaasisi (yaani management iwe kimfumo wa kitaasisi)
- Liwe linapatikana angalau kila wilaya/mkoa
- Misingi ya waumini wake iwe ni ile ya teamwork (umoja bila kubagua masikini au tajiri hususani wakati wa matatizo ya mmoja mmoja)
- Liwe ni kanisa lisilotegemea uwepo wa mchungaji/kiongozi mmoja
- Liwe ni kanisa lenye ratiba maalum ya kuzingatiwa (standards)
- Liwe ni kanisa linalojali malezi ya watoto kiroho
- Liwe ni kanisa la watu wenye akili timamu.
- Liwe ni kanisa lenye kupenda haki, usawa na uwazi
- Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
Fungua lako litakuwa na sifa hizo unazozitaka.
Kwanini wanapingana na Marko7:17-23 na wakolosai2:16?Kanisa la Waadventista Wasabato(SDA) mchungaji asipokuwepo wanashika zamu wazee wa kanisa, lipo kila mtaa na karibu kila nchi ulimwenguni, malezi ya watoto ni ya hali ya juu.. kuanzia akiwa tumboni(miaka 0-3) wavumbuzi, watafuta njia na vijana wakubwa. Sadaka mnasomewa mchanganuo.. asilimia kadhaa zinaenda ngazi za union,divishen,conferensi kuu ya ulimwengu huku kiasi kinabaki kanisani, wachungaji wanalipwa mshahara na ngazi ya ulimwengu na si pesa inayokusanywa kwenye ibada.
Hakuna ubaguzi na ni kanisa la haki.. waumini wanatembeleana na kusaidiana kwa hali na mali kupitia vikundi vidogo vidogo tunaita vikosi vinavyoundwa kutokana na mtaa mnaoishi.. karibu
Kwanini 1.Ubatizo n wa maji mafupi tofaut na Biblia? 2.Kwanini wanadanganya kuwa kuna moto wa milele(Warumi6:7 na 6:23)? 3.Kwanini wanatumia sanamu(Kutoka20:4,5)?Mt 16:18 SUV
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Na hilo ndilo neno la bwana...
Kanisa Takatifu katoliki la Mitume. Na liko duniani kote. Taasisi imara kuliko zote. Kanisa halimilikiwi na mchungaji wala nabii. Unaguzi ni wewe kutozishika na kuziishi kanuni na sheria za kanisa katoliki.
Hakuna ubaguzi kama wanavyodai wengine hapa. Mf. Ruge, nillionea mrema, kingunge hawa ni baadhi ya vigogo ambao waliasi ukatoliki kwa namna yao hivyo kujikuta wakikosa huduma. Hawakua masikini ama wanyonge. Ni vigogo na sheria imetumika ipasavyo. Kanisa ni moja takatifu katoliki. Inada ni moja, inada haiendeshwi kwa utashi wa nabii ama mchungaji. Hivyo inakupa nafasi muumini kujiandaa vyema kwa ibada. Inada ya leo kimara, sinza, mwenge, kkoo, italy, spain, usa, mwanza, rwanda zote zinafanana.
Tumsifu Yesu Kristu[emoji120]
Biblia inasema sala inapaswa kwenda kwa Mungu kupitia Yesu Kristo tu( Yohana14:6) sasa kwanini mnamuhusisha Maria ni wapi Biblia inasema tusal kuptia Maria?Kiitikio: Utuombee
Maria Mtakatifu,
Mzazi Mtakatifu wa Mungu,
Bikira Mtakatifu, Mkuu wa mabikira,
Mama wa Kristu,
Mama wa neema ya Mungu,
Mama mtakatifu sana,
Mama mwenye usafi wa moyo,
Mama usiye na doa,
Mama usiye na dhambi,
Mama mpendelevu,
Mama mstaajabivu,
Mama wa shauri jema,
Mama wa Mwumba,
Mama wa Mkombozi,
Bikira mwenye utaratibu,
Bikira mwenye heshima,
Bikira mwenye sifa,
Bikira mwenye enzi,
Bikira mwenye huruma,
Bikira amini,
Kikao cha haki,
Kikao cha hekima,
Sababu ya furaha yetu,
Chombo cha neema,
Chombo cha heshima,
Chombo bora cha ibada,
Waridi lenye fumbo,
Mnara wa Daudi,
Mnara wa pembe,
Nyumba ya dhahabu,
Sanduku la Agano,
Mlango wa mbingu,
Nyota ya asubuhi,
Afya ya wagonjwa,
Makimbilio ya wakosefu,
Mfariji wa wenye uchungu,
Msaada wa Wakristu,
Malkia wa Malaika,
Malkia wa Mababu,
Malkia wa Manabii,
Malkia wa Mitume,
Malkia wa Mashaidi,
Malkia wa Waungama,
Malkia wa Mabikira,
Malkia wa Watakatifu wote,
Malkia uliyeumbwa, pasipo dhambi ya asili,
Malkia uliyepalizwa mbinguni,
Malkia wa Rozari takatifu,
Malkia wa amani.
Mwanakondoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia, utusamehe, Bwana.
Mwanakondoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia, utusikilize, Bwana.
Mwanakondoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia, utuhurumie.
K. Utuombee, Mzazi Mtakatifu wa Mungu.
W. Tujaliwe ahadi za Kristu.
TUMSIFU YESU KRISTU!
Biblia inakataza ulevi na sio kunywa pombe!.Je unataka kuniambia Biblia inapokataza kula kupita kias inamaanisha ni dhambi kula? Soma Luka21:34. Ukisoma Zaburu104:14,15,utaona pombe n kiburudisho,anachokataza Mungu ni ulevi sio pombeJidanganye
1 Wakorintho 6:9-10
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.

Embu njoo hapa parokiani kwetu,upate ubatizo na kipaimara na ndoa papo hapo maana katoliki ni taasisi inayokufaa kabisaKusali ni muhimu, lakini baadhi ya tabia na sheria za baadhi ya makanisa yanachangia sana kuvunja moyo watu kuabudu.
Naomba mwenye kujua kanisa lolote lenye sifa zifuatazo ili nijiunge;
Yoyote anayefahamu kanisa lenye hizo sifa anifahamishe!! Natafuta kanisa la kujiunga!
- Liwe ni kanisa la kikristu
- Liwe na mfumo wa kitaasisi (yaani management iwe kimfumo wa kitaasisi)
- Liwe linapatikana angalau kila wilaya/mkoa
- Misingi ya waumini wake iwe ni ile ya teamwork (umoja bila kubagua masikini au tajiri hususani wakati wa matatizo ya mmoja mmoja)
- Liwe ni kanisa lisilotegemea uwepo wa mchungaji/kiongozi mmoja
- Liwe ni kanisa lenye ratiba maalum ya kuzingatiwa (standards)
- Liwe ni kanisa linalojali malezi ya watoto kiroho
- Liwe ni kanisa la watu wenye akili timamu.
- Liwe ni kanisa lenye kupenda haki, usawa na uwazi
- Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
Nakataa kuhusu hiliLakini halina teamwork! Hubagua hadhi ya waumini
Wasabato wanapinga Biblia katika baadhi ya mambo,mfano siku ya kuabudu na vyakula,vitu ambavyo Yesu alishawaweka watu huru,soma Marko7:17-23 na wakolosai2:16Kwa wasabato au mashahidi wa yehova.