Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

Wakati wa huduma ya Yesu,Yakobo na ndugu zake"walikuwa hawamwamini"ndugu yao mkubwa.(Yohana7:5 na Marko3:12).Ukisoma Mathayo13:54,55 utaelewa kuwa Yakobo alikuwa mdogo wa Yesu.
 
Anzisha lakp
 
Watu wenye akili TIMAMU !! [emoji16][emoji16][emoji16]anamaanisha usidanganye watu kama"unafufua"
 
Kwahiyo kulewa ndio dhambi?! Hivi kuna anaekunywa pombe halewi?! Au starehe ya pombe ni ipi?!
Starehe ya pombe ni burudani, kusahau shida kwa mda, uzinzi na ni chanzo kikuu cha kudanga
 
Jiandae na sadaka za kutosha..na makanisa mengi hayataki koin ni mwendo wa noti.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kanisa Catholic nalipenda ndo litanizika kwakweli
Unajuaje Kama utakufa kifo gani? Usiahidiane na kifo.Air Malyasia ilipotea na abiria wote Hakuna aliyebahatikwa kusikwa

Mv Bukoba ilizama watu kibao miili yao haijapatika a Hadi leo

Wako walioungua kwenye basi hata miili yao haikutambuliwa na ndugu Wala kanisa Wala msikiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…