Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

Mkuu wewe mwenyewe unataka uonyeshwe vifungu vya biblia ili uamini sasa na wewe unakuja na imani zako ambazo hazipo kwenye Biblia! Wapi kwenye Biblia imesema wadogo zake Yesu hawakumwamini? Mnajifanya kufuata Biblia 100% kwa mambo ambayo yanaenda kinyume na imani yenu ila mnakuwa wa kwanza kujiaminisha mambo ambayo hayapo kwenye Biblia kufavour imani yenu [emoji1787][emoji1787][emoji119]. Walau mimi nimekupa vifungu vyote vya heshima anayostahili kupewa Bikira Maria.

Unaposema hatuwezi kumuomba Yesu kupitia Maria, Unajua walipokuwa kwenye harusi ya Kana walipoishiwa Divai walimfuata nani ili awaombee kwa Yesu?
Wakati wa huduma ya Yesu,Yakobo na ndugu zake"walikuwa hawamwamini"ndugu yao mkubwa.(Yohana7:5 na Marko3:12).Ukisoma Mathayo13:54,55 utaelewa kuwa Yakobo alikuwa mdogo wa Yesu.
 
Kusali ni muhimu, lakini baadhi ya tabia na sheria za baadhi ya makanisa yanachangia sana kuvunja moyo watu kuabudu.

Naomba mwenye kujua kanisa lolote lenye sifa zifuatazo ili nijiunge;
  1. Liwe ni kanisa la kikristu
  2. Liwe na mfumo wa kitaasisi (yaani management iwe kimfumo wa kitaasisi)
  3. Liwe linapatikana angalau kila wilaya/mkoa
  4. Misingi ya waumini wake iwe ni ile ya teamwork (umoja bila kubagua masikini au tajiri hususani wakati wa matatizo ya mmoja mmoja)
  5. Liwe ni kanisa lisilotegemea uwepo wa mchungaji/kiongozi mmoja
  6. Liwe ni kanisa lenye ratiba maalum ya kuzingatiwa (standards)
  7. Liwe ni kanisa linalojali malezi ya watoto kiroho
  8. Liwe ni kanisa la watu wenye akili timamu.
  9. Liwe ni kanisa lenye kupenda haki, usawa na uwazi
  10. Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
Yoyote anayefahamu kanisa lenye hizo sifa anifahamishe!! Natafuta kanisa la kujiunga!
Anzisha lakp
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
df152baeebb44fe0affd5c421c328a23.jpg
 
Watu wenye akili TIMAMU !! [emoji16][emoji16][emoji16]anamaanisha usidanganye watu kama"unafufua"
 
Kwahiyo kulewa ndio dhambi?! Hivi kuna anaekunywa pombe halewi?! Au starehe ya pombe ni ipi?!
Starehe ya pombe ni burudani, kusahau shida kwa mda, uzinzi na ni chanzo kikuu cha kudanga
 
Jiandae na sadaka za kutosha..na makanisa mengi hayataki koin ni mwendo wa noti.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kanisa Catholic nalipenda ndo litanizika kwakweli
Unajuaje Kama utakufa kifo gani? Usiahidiane na kifo.Air Malyasia ilipotea na abiria wote Hakuna aliyebahatikwa kusikwa

Mv Bukoba ilizama watu kibao miili yao haijapatika a Hadi leo

Wako walioungua kwenye basi hata miili yao haikutambuliwa na ndugu Wala kanisa Wala msikiti
 
Back
Top Bottom