Anayefahamu kanisa zuri lenye sifa zifuatazo, anijulishe nijiunge tafadhali

Liko wapi hilo
Liko sehemu nyingi pombe ruksa na kuoa wake wengi ruksa linaitwa kanisa la Mitume ila halina waumini wengi. wazungu walileta pesa za kumwaga wajanja wakajenga makanisa feki kibao nchi nzima hata kusikokuwa na waumini vijijini. Kumbe waongo waliwakwapulia hela hadi basi maeneo mengi makanisa yaliyojengwa wanalala popo na nyoka na mijusi yameota majani hadi ndani wakwapuaji wanamiliki hadi maghorofa Dar

Ni kama ukisafiri kuna Wale wezi waislamu waliojenga ile Miskito ya kijani hadi maporini kusiko na mwislamu hata mmoja kudanganya wafadhili wa kiislamu uarabuni kuwa uislamu upo kila kona na mahitaji ya misikiti mipya ni makubwa mno.Waislamu wafadhili wakamwaga pesa sasa hivi misikiti mingi magofu makao ya mijusi, popo, nyoka na panya wezi wanakula bata dar Nk

Wafadhili walipokuja kushtuka too late. Hawakuchukua hatua yeyote sababu na wao walikuwa wakiibia wachangiaji kule kwao wanacholeta sio chote!!!
 
Sabato Anglican Catholic Lutheran period
kanisa la Sabato ondoa

Mimi kifupi ukiniambia ni li define kwa sentensi moja ningesema SDA ni jeshi la wapigania uhuru wa wapagani Wanaopigania wapagani waabudu miungu warudishiwe siku zao za jumapili, pasaka na Krismasi zilizoporwa na wakristo
 
Oooh
 
Kwa vigezo hivi kaka fungua la kwako.
Mi ningekushauri tafuta kanisa ambalo linaamini ifuatavyo hayo mengine ni ubinadamu tu na ukiwa muumini mzuri utasaidia kuweka sawa.

Kanisa la kweli linavitu vifuatavyo,

1.Linaamini kuwa Biblia ni Neno la Mungu na mafundisho yeyote yanayopingana na Biblia au hayathibitishwi na neno la Mungu hayakubaliki.

2.Linaloamini kuwa Yesu ni Mungu
3.Linaloamini katika utatu mtakatifu
4.Linaloamini katika Kuhesabiwa haki na Mungu kwa imani kwa Yesu Kristo na sio matendo.(Justification by faith not works)


Mengine ni mambo ya kibinadamu tu yanarekebishika.
 
Hayo ya kibinadam ndo maisha halisi
 
kanisa la Sabato ondoa

Mimi kifupi ukiniambia ni li define kwa sentensi moja ningesema SDA ni jeshi la wapigania uhuru wa wapagani Wanaopigania wapagani waabudu miungu warudishiwe siku zao za jumapili, pasaka na Krismasi zilizoporwa na wakristo
Wewe huna hoja ila unachuki binafs na wasabato..utateseka sana...chuki humuumiza yule anayeibeba..wasabato tunakupuuza.

Happy Sabado to you.

#MaendeleoHayanaChama
 
SDA Church
Seventh day Adventist Church
 
Kanisani hamnaga Mungu. Kuna pesa na udanganyifu tu.
 
Makanisa yote yaliyochini ya CCT ni taasisi na sio mali ya mtu kama yalivyo makanisa mengine. Lakini katika kumtafuta Mungu imani yako pekee inakuponya na sio kanisa linalokupeleka mbinguni. Imani pasipo matendo imeshakufa.
 
Makanisa yote yaliyochini ya CCT ni taasisi na sio mali ya mtu kama yalivyo makanisa mengine. Lakini katika kumtafuta Mungu imani yako pekee inakuponya na sio kanisa linalokupeleka mbinguni. Imani pasipo matendo imeshakufa.
Sawa
 

assemblies sio
 
Umesahau waumini wasitoe sadaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…