YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
linaloamini kuoa wake wengi?Njoo kanisa la mitume utakuja kunishukuru siku moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
linaloamini kuoa wake wengi?Njoo kanisa la mitume utakuja kunishukuru siku moja
Liko wapi hilolinaloamini kuoa wake wengi?
Liko sehemu nyingi pombe ruksa na kuoa wake wengi ruksa linaitwa kanisa la Mitume ila halina waumini wengi. wazungu walileta pesa za kumwaga wajanja wakajenga makanisa feki kibao nchi nzima hata kusikokuwa na waumini vijijini. Kumbe waongo waliwakwapulia hela hadi basi maeneo mengi makanisa yaliyojengwa wanalala popo na nyoka na mijusi yameota majani hadi ndani wakwapuaji wanamiliki hadi maghorofa DarLiko wapi hilo
kanisa la Sabato ondoaSabato Anglican Catholic Lutheran period
OoohLiko sehemu nyingi pombe ruksa na kuoa wake wengi ruksa linaitwa kanisa la Mitume ila halina waumini wengi. wazungu walileta pesa za kumwaga wajanja wakajenga makanisa feki kibao nchi nzima hata kusikokuwa na waumini vijijini. Kumbe waongo waliwakwapulia hela hadi basi maeneo mengi makanisa yaliyojengwa wanalala popo na nyoka na mijusi yameota majani hadi ndani wakwapuaji wanamiliki hadi maghorofa Dar
Ni kama ukisafiri kuna Wale wezi waislamu waliojenga ile Miskito ya kijani hadi maporini kusiko na mwislamu hata mmoja kudanganya wafadhili wa kiislamu uarabuni kuwa uislamu upo kila kona na mahitaji ya misikiti mipya ni makubwa mno.Waislamu wafadhili wakamwaga pesa sasa hivi misikiti mingi magofu makao ya mijusi, popo, nyoka na panya wezi wanakula bata dar Nk
Wafadhili walipokuja kushtuka too late. Hawakuchukua hatua yeyote sababu na wao walikuwa wakiibia wachangiaji kule kwao wanacholeta sio chote!!!
Kwa vigezo hivi kaka fungua la kwako.Kusali ni muhimu, lakini baadhi ya tabia na sheria za baadhi ya makanisa yanachangia sana kuvunja moyo watu kuabudu.
Naomba mwenye kujua kanisa lolote lenye sifa zifuatazo ili nijiunge;
Yoyote anayefahamu kanisa lenye hizo sifa anifahamishe!! Natafuta kanisa la kujiunga!
- Liwe ni kanisa la kikristu
- Liwe na mfumo wa kitaasisi (yaani management iwe kimfumo wa kitaasisi)
- Liwe linapatikana angalau kila wilaya/mkoa
- Misingi ya waumini wake iwe ni ile ya teamwork (umoja bila kubagua masikini au tajiri hususani wakati wa matatizo ya mmoja mmoja)
- Liwe ni kanisa lisilotegemea uwepo wa mchungaji/kiongozi mmoja
- Liwe ni kanisa lenye ratiba maalum ya kuzingatiwa (standards)
- Liwe ni kanisa linalojali malezi ya watoto kiroho
- Liwe ni kanisa la watu wenye akili timamu.
- Liwe ni kanisa lenye kupenda haki, usawa na uwazi
- Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
Hayo ya kibinadam ndo maisha halisiKwa vigezo hivi kaka fungua la kwako.
Mi ningekushauri tafuta kanisa ambalo linaamini ifuatavyo hayo mengine ni ubinadamu tu na ukiwa muumini mzuri utasaidia kuweka sawa.
Kanisa la kweli linavitu vifuatavyo,
1.Linaamini kuwa Biblia ni Neno la Mungu na mafundisho yeyote yanayopingana na Biblia au hayathibitishwi na neno la Mungu hayakubaliki.
2.Linaloamini kuwa Yesu ni Mungu
3.Linaloamini katika utatu mtakatifu
4.Linaloamini katika Kuhesabiwa haki na Mungu kwa imani kwa Yesu Kristo na sio matendo.(Justification by faith not works)
Mengine ni mambo ya kibinadamu tu yanarekebishika.
Wewe huna hoja ila unachuki binafs na wasabato..utateseka sana...chuki humuumiza yule anayeibeba..wasabato tunakupuuza.kanisa la Sabato ondoa
Mimi kifupi ukiniambia ni li define kwa sentensi moja ningesema SDA ni jeshi la wapigania uhuru wa wapagani Wanaopigania wapagani waabudu miungu warudishiwe siku zao za jumapili, pasaka na Krismasi zilizoporwa na wakristo
Kwamba...**#@!?Hayo ya kibinadam ndo maisha halisi
Kanisani hamnaga Mungu. Kuna pesa na udanganyifu tu.Kusali ni muhimu, lakini baadhi ya tabia na sheria za baadhi ya makanisa yanachangia sana kuvunja moyo watu kuabudu.
Naomba mwenye kujua kanisa lolote lenye sifa zifuatazo ili nijiunge;
Yoyote anayefahamu kanisa lenye hizo sifa anifahamishe!! Natafuta kanisa la kujiunga!
- Liwe ni kanisa la kikristu
- Liwe na mfumo wa kitaasisi (yaani management iwe kimfumo wa kitaasisi)
- Liwe linapatikana angalau kila wilaya/mkoa
- Misingi ya waumini wake iwe ni ile ya teamwork (umoja bila kubagua masikini au tajiri hususani wakati wa matatizo ya mmoja mmoja)
- Liwe ni kanisa lisilotegemea uwepo wa mchungaji/kiongozi mmoja
- Liwe ni kanisa lenye ratiba maalum ya kuzingatiwa (standards)
- Liwe ni kanisa linalojali malezi ya watoto kiroho
- Liwe ni kanisa la watu wenye akili timamu.
- Liwe ni kanisa lenye kupenda haki, usawa na uwazi
- Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
SawaMakanisa yote yaliyochini ya CCT ni taasisi na sio mali ya mtu kama yalivyo makanisa mengine. Lakini katika kumtafuta Mungu imani yako pekee inakuponya na sio kanisa linalokupeleka mbinguni. Imani pasipo matendo imeshakufa.
Iko wapiORTHODOX
Kwa vigezo hivi kaka fungua la kwako.
Mi ningekushauri tafuta kanisa ambalo linaamini ifuatavyo hayo mengine ni ubinadamu tu na ukiwa muumini mzuri utasaidia kuweka sawa.
Kanisa la kweli linavitu vifuatavyo,
1.Linaamini kuwa Biblia ni Neno la Mungu na mafundisho yeyote yanayopingana na Biblia au hayathibitishwi na neno la Mungu hayakubaliki.
2.Linaloamini kuwa Yesu ni Mungu
3.Linaloamini katika utatu mtakatifu
4.Linaloamini katika Kuhesabiwa haki na Mungu kwa imani kwa Yesu Kristo na sio matendo.(Justification by faith not works)
Mengine ni mambo ya kibinadamu tu yanarekebishika.
Umesahau waumini wasitoe sadakaKusali ni muhimu, lakini baadhi ya tabia na sheria za baadhi ya makanisa yanachangia sana kuvunja moyo watu kuabudu.
Naomba mwenye kujua kanisa lolote lenye sifa zifuatazo ili nijiunge;
Yoyote anayefahamu kanisa lenye hizo sifa anifahamishe!! Natafuta kanisa la kujiunga!
- Liwe ni kanisa la kikristu
- Liwe na mfumo wa kitaasisi (yaani management iwe kimfumo wa kitaasisi)
- Liwe linapatikana angalau kila wilaya/mkoa
- Misingi ya waumini wake iwe ni ile ya teamwork (umoja bila kubagua masikini au tajiri hususani wakati wa matatizo ya mmoja mmoja)
- Liwe ni kanisa lisilotegemea uwepo wa mchungaji/kiongozi mmoja
- Liwe ni kanisa lenye ratiba maalum ya kuzingatiwa (standards)
- Liwe ni kanisa linalojali malezi ya watoto kiroho
- Liwe ni kanisa la watu wenye akili timamu.
- Liwe ni kanisa lenye kupenda haki, usawa na uwazi
- Liwe ni kanisa linaloponya, kukuza na kujenga imani kwa waumini wachanga n.k
Sadaka mhimuUmesahau waumini wasitoe sadaka