Anayefahamu kuhusu na kozi ya Doctor of Dental Surgery (MUHAS)

Punnisher

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2014
Posts
1,169
Reaction score
1,376
Habari zenu wakuu. Naomba kupewa info zozote kuhusiana na facult ya doctor of dental surgey pale MUHAS. natanguliza shukrani
 
Habari zenu wakuu.naomba kupewa info zozote kuhusiana na facult ya doctor of dental surgey pale MUHAS.natanguliza shukran

Karibu MUHAS mkuu,course ni ya miaka mitano plus mmoja wa internship

Ni course ya afya,so ajira ni ya uhakika

Fursa za kujiajiri pia ni nyingi kwa kutegemea na competence yako

Karibu
 
Karibu MUHAS mkuu,course ni ya miaka minne plus mmoja wa internship

mkuu kama ngumu vilee..!
 
Karibu MUHAS mkuu,course ni ya miaka minne plus mmoja wa internship

Ni course ya afya,so ajira ni ya uhakika

Fursa za kujiajiri pia ni nyingi kwa kutegemea na competence yako

Karibu

msaada wadau,hivi naweza kusoma kozi ipi ya Afya hapo muhas,nimesoma PCM na nina B B B
 
PCM hakuna course kwa level ya degree unayoweza kusoma,labda diploma
 
Diploma bado wanachukua?
Nilijua kuwa mambo yote yameishia kule NACTE.
Hiyo diploma inakuaje?
 
Karibu MUHAS mkuu,course ni ya miaka minne plus mmoja wa internship

Ni course ya afya,so ajira ni ya uhakika

Fursa za kujiajiri pia ni nyingi kwa kutegemea na competence yako

Karibu

DDS miaka minne ?
 
ZEHEby
naomba unijibu pale juu.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wakuu. Naomba kupewa info zozote kuhusiana na facult ya doctor of dental surgey pale MUHAS. natanguliza shukrani

Doctor of Dental Surgery (DDS) ni course ya udaktari wa kinywa na meno. Ni course ya miaka mitano plus one year of internship. Kwa ufupi na ukweli inahitaji full commitment kama MD or DVM. However, ina faida Kama full Govt Scholarship (grants) na ajira ni ya uhakika (100%).
 
dah ila admsion capacity y MUHAS n 40
 
Back
Top Bottom