Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wakuu.naomba kupewa info zozote kuhusiana na facult ya doctor of dental surgey pale MUHAS.natanguliza shukran
Karibu MUHAS mkuu,course ni ya miaka minne plus mmoja wa internship
Ni course ya afya,so ajira ni ya uhakika
Fursa za kujiajiri pia ni nyingi kwa kutegemea na competence yako
Karibu
msaada wadau,hivi naweza kusoma kozi ipi ya Afya hapo muhas,nimesoma PCM na nina B B B
mkuu kama ngumu vilee..!
Karibu MUHAS mkuu,course ni ya miaka minne plus mmoja wa internship
Karibu MUHAS mkuu,course ni ya miaka minne plus mmoja wa internship
Ni course ya afya,so ajira ni ya uhakika
Fursa za kujiajiri pia ni nyingi kwa kutegemea na competence yako
Karibu
Habari zenu wakuu. Naomba kupewa info zozote kuhusiana na facult ya doctor of dental surgey pale MUHAS. natanguliza shukrani
Doctor of Dental Surgery (DDS) ni course ya udaktari wa kinywa na meno. Ni course ya miaka mitano plus one year of internship. Kwa ufupi na ukweli inahitaji full commitment kama MD or DVM. However, ina faida Kama full Govt Scholarship (grants) na ajira ni ya uhakika (100%).
DDS miaka minne ?
nipe mkuu nataka kula bata!