Anayefahamu kuhusu oswald mang'ombe tafadhali unijulishe,,

Anayefahamu kuhusu oswald mang'ombe tafadhali unijulishe,,

thanks guyz kwa ushauri,nimeelewa ,lakini naombeni tushirikiane kushauriana namna tutahakikisha tunatatua tatizo la uzembe mashuleni

ni moja kati ya shule nzuri yenye vifaa vya kisasa ilijengwa na Mkono mbunge wa msoma na mmiliki wa M Bank lakini matokeo yake ni majanga dah sijui kwanini ingawa nimepiga shule haina vifaa na walimu wengi kama mang'ombe lakini raia wanaperform fresh sijui shida ni nini na hii xonga.
 
jamani anayefaham kuhusu shule tajwa anijulishe?

Ni shule iliyojengwa na Mhe, Nimrod Mkono kwa heshima ya chifu mwenye jina tajwa kwenye post yako. Ni shule nzuri kimazingira na imejengwa siku za karibuni. Ila labda shida ni wallimu wa Scie. kama ilivyo kwa shule zote za Guvt! Lakini natumai hilo tatizo linaweza kuwa limepungua maana mhe. alikuwa analipigia kelele sana.@ stormryder
 
Chemiker,thanks maana naona 2012 walifanya vizuri,kama kuna mtu anayefahamiana na mtu aliyemaliza pale akafaulu/akafanya vizuri anitumie namba inbox
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom