ni moja kati ya shule nzuri yenye vifaa vya kisasa ilijengwa na Mkono mbunge wa msoma na mmiliki wa M Bank lakini matokeo yake ni majanga dah sijui kwanini ingawa nimepiga shule haina vifaa na walimu wengi kama mang'ombe lakini raia wanaperform fresh sijui shida ni nini na hii xonga.
Ni shule iliyojengwa na Mhe, Nimrod Mkono kwa heshima ya chifu mwenye jina tajwa kwenye post yako. Ni shule nzuri kimazingira na imejengwa siku za karibuni. Ila labda shida ni wallimu wa Scie. kama ilivyo kwa shule zote za Guvt! Lakini natumai hilo tatizo linaweza kuwa limepungua maana mhe. alikuwa analipigia kelele sana.@ stormryder