Anayefahamu mzigo huu unaishia wapi na matumizi yake ni nini?

Yaani anatembeaaa akijisikia njaa anamega kidogo na kuendelea na safari?
Hapana hiyo ni hakiba lakini kwa bahati mbaya huwa haifaidi kwakuwa huishia kupata ajali mbali mbali kama
Kutumbukia majini
Kunyeshewa na mvua
Kuporomoka kwenye miteremko
Kunyang'anywa na siafu
Kutumbukia kwenye mashimo asimoweza kutoa
Kupondwa na watu/watoto watukutu
Kuchoka nknk

Anapokutana na kimba la kinyesi (cha mnyama) hasa ng'ombef hula akashiba kwanza! Kishapo hubeba hiyo ziada kwa teknolojia ya kuiviringa kama mpira ili iwe rahisi kusafirisha
 
Huyu mdudu huitwa "DINGI" sasa wale ambao mnawaita Baba zenu hilo jina NOW YOU KNOW!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…