Anayefahamu Please!

Anayefahamu Please!

digodigo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
311
Reaction score
254
Naomba anayefahamu Shule ya chekechea ya bweni na gharama zake anijulishe ambayo iko katika mtindo wa medium Tafadhali.
 
1.Ujiji Pre&primary English Medium-kigoma
2.Arusha Alliance School-Arusha
3.Bombo English Medium-Tanga
4.Mbarali Preparatory School-Zanzibar,
5.Juhudi English Medium-Singida
 
Naomba anayefahamu Shule ya chekechea ya bweni na gharama zake anijulishe ambayo iko katika mtindo wa medium Tafadhali.

Mlete Dogo savannah international school,jiadae Ada mill9 karibu tuwe wengi.
Ipo shinyanga.
 
Back
Top Bottom