Anayefahamu Simba imechukua kombe gani mpaka sasa anisaidie

Ebu tutajie hayo Makombe!

Utasikia alikuwa Bingwa wa kombe la Hedex,
Kombe la Panadol, Kombe la MO, Kombe la miaka 10 ya CCM, kombe la miaka 30 ya Uhuru wa Tanganyika, nk.
Kombe la Tusker,Kombe la Kilimanjaro Lager,Kombe la Pilsner na Kombe la Kibo Gold na yule pacha wake Foma Gold baridi.
 
Habari wakuu.

Huwa ninasikia tu hii kilabu inasajili wachezaji, inashiriki michuano na ligi mbali mbali lakini mbona sijawahi kusikia imeshinda taji/kombe lolote? Ina maana wamekuwa washiriki na wasindikizaji tu?

Si Ligi kuu, Si FA, Si Ngao ya jamii, CAFCL,CAFCCL wala mapinduzi. Nini kifanyike ili kilabu hii iweze kupata walau taji/kombe moja japo Ndondo cup?
Utakuwa una umri wa mwaka mmoja hivyo sishangai reasoning yako.Hii ni too low hata kwa wewe usie na uwezo wa kutafakari wala kujua chochote kuhusu mpira.
Dah kweli ulikuwa kwenye coma umezinduka mwaka jana au ni ni uzumbukuku unakusumbua.?
 
Ukiachana na hili kombe la Tano Bila na lile la Robo fainali kombe gani lingine tena?

Lipo lile la 4-1

1679507923170.png
 
Habari wakuu.

Huwa ninasikia tu hii kilabu inasajili wachezaji, inashiriki michuano na ligi mbali mbali lakini mbona sijawahi kusikia imeshinda taji/kombe lolote? Ina maana wamekuwa washiriki na wasindikizaji tu?

Si Ligi kuu, Si FA, Si Ngao ya jamii, CAFCL,CAFCCL wala mapinduzi. Nini kifanyike ili kilabu hii iweze kupata walau taji/kombe moja japo Ndondo cup?

Waulize Yanga miaka 5 iliyopita
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Habari wakuu.

Huwa ninasikia tu hii kilabu inasajili wachezaji, inashiriki michuano na ligi mbali mbali lakini mbona sijawahi kusikia imeshinda taji/kombe lolote? Ina maana wamekuwa washiriki na wasindikizaji tu?

Si Ligi kuu, Si FA, Si Ngao ya jamii, CAFCL,CAFCCL wala mapinduzi. Nini kifanyike ili kilabu hii iweze kupata walau taji/kombe moja japo Ndondo cup?
Wewe jamaa ni upinde kutwa kucha kuzungumzia vibaya simba. Ndio maana unapasuliwa kwenye mikeka
 
Back
Top Bottom