Anayefahamu topics za Pure Mathematics, Kidato cha Sita

Anayefahamu topics za Pure Mathematics, Kidato cha Sita

Logic
sets
algebra 1&2
statistics1&2
coordinate- geometry1&2
differentiation
intergtation
differential equation
complex number
numerical method
functions
trig
calculting devives
probability
vector
hyperbolic function
 
Logic
sets
algebra 1&2
statistics1&2
coordinate- geometry1&2
differentiation
intergtation
differential equation
complex number
numerical method
functions
trig
calculting devives
probability
vector
hyperbolic function

Nashukuru Sana ndugu, hapo si umeweka zote na kidato cha 5?
 
mwaluko imma uko vizuri kaka

Sitasahau D. E, trig funct na Coord Geom zilivyonitesa ndani ya Mkwawa High School...
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka diferential equation ili nisumbua ndan ya tabora boys...THE HEAD OF TANZANIA
 
Mimi kati ya topic nilizofurahia adv, mojawapo ni D.E, ila Vector ndo ilikuwa inanitoa nduki.
 
Mathematicians;
Kiukweli Advanced mathematics hakuna topic ngumu ni juhudi zako kupitia madesa.....
 
Mathematicians;
Kiukweli Advanced mathematics hakuna topic ngumu ni juhudi zako kupitia madesa.....

Unachosema chaweza kuwa kweli ila kisiwe sahihi

Mkuu katika maisha lazima kwenye hatua fulani kuna kitu kutakuwa kigumu tu kwako na kikaku-challenge hata kama utakiweza/kimudu... haimaanishi kitakushinda kabisa lakini lazima jasho likutoke kukimudu

Cha ajabu ni kuwa topic nyingine unazifumua vibaya na watakuja kwako unawatoa ila ukifikia kwenye hiyo inayokutoa jasho meno yanatetereka kwanza.....

Unaweza piga madesa vibaya na kuhangaika na topic husika ila unajikuta holaaaa... mwisho wa siku unajisemea aaah pepa yote haiji D. E tu.... hahahaaa hivi ndo nilijitia moyo na mwisho wa siku nikajipigia B yangu ya namba
 
Nakumbuka diferential equation ili nisumbua ndan ya tabora boys...THE HEAD OF TANZANIA

Differencial eqn haikusimama kama mziki wa vector na probability. Trig,Differencial equation,calculus yote hayo ndo zilikuwa mbogamboga zangu. Acha tu mnanirudisha nyuma sana zaidi ya miaka10 iliyopita.
 
Mathematicians;
Kiukweli Advanced mathematics hakuna topic ngumu ni juhudi zako kupitia madesa.....

Kweli kabisa mkuu! mimi nakumbuka advanced maths nilijifundisha mwenyewe >85%.
Kwenye comb ya pcm mziki upo kwenye physics usipime!!
 
Kweli kabisa mkuu! mimi nakumbuka advanced maths nilijifundisha mwenyewe >85%.
Kwenye comb ya pcm mziki upo kwenye physics usipime!!

Mkuu kwenye Physics kina hili dude ambalo natumia kama ID yangu sitasahau alichotufanya mwalimu

Kuingia Class kalichora ubaoni akaandika heading "CRO" alafu akamaliza kwa kusema "Go search and learn for yourself... next week test ya CRO"... Daah jamaa lilikuwa kauzu mbaya maana enzi hizo huwezi Google inabidi ukayafute namna ya kupigika library na kuwaomba jamaa wa Six wakusaidie (au umtafute mzee Garigo akupige tafu kama yuko kwenye mood)
 
Kweli kabisa mkuu! mimi nakumbuka advanced maths nilijifundisha mwenyewe >85%.
Kwenye comb ya pcm mziki upo kwenye physics usipime!!

Hapo ndio napoamini watu tuko tofauti. Chemistry kwangu ndio ilinitesa kumeza.
 
Back
Top Bottom