Thomas george Ndaki
Member
- Apr 30, 2018
- 9
- 9
- Thread starter
- #21
Asantee nashukuruUnaweza fanya kwenye quality control labs kama za TFDA na TBS
Unaweza fanya kwenye maabara za viwanda vinavyotengeneza bidhaa ambazo microbial contamination ni critical attribute kwenye ubora,usalama na ufanisi
Kiufupi microbiology sio mbaya kwa kweli.