Anayefahamu vizuri hii degree ya microbiology na chemistry anijuze

Asantee nashukuru
 
Asantee kaka goja nikomaee nayo tu
 
samahan kwa kuuliza hili swali japo lipo nje ya mada je kuna yeyote mwenye ufahamu kuhusu udaktari wa mifugo digrii yake kiujumla
 
Naomba kuelekezwa juu ya kozi hii
Part ya medical laboratory

Bachelor of science in clinical chemistry
 
Nikichukua degree ya science general (microbiology & chemistry ) nitafanya kazi gani,,, na je kazi zipo? Msaada plz
Mkuu...habari?

Mm pia imekuwa kama ww, niliweka hii kozi choice ya 6 Udsm....wamenichagua.... naomba mrjesho kutoka kwako mkuu
 
Mkuu...habari?

Mm pia imekuwa kama ww, niliweka hii kozi choice ya 6 Udsm....wamenichagua.... naomba mrjesho kutoka kwako mkuu
Kazi Microbiology kiufupi hakuna.. TMDA, NIMR, TBS, GCLA wanachukua hasa watu wa Biotechnology & Molecular Biology.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…