Wakuu nimekutana na hii asasi ya Kopa Mali foundation mtandaoni ( http://www.kopa-mali.wapka.mobi/site_0.xhtml ) naona kama vile maelezo yao ni mazuri na ningependa kuwa mwanachama lakini nimeingiwa na hofu ikabidi nije hapa JAMII BUNGE ili hoja yangu iweze kujadiliwa kwa mapana na marefu.
Chamsing n kufika ofisin kwao ..utajua n wakwel au VP ...yan unaweza lak unapata milion ndan ya dkk 45 ...ka n kwel itakuwa nzur ila wanatoa bure milion tatu kwa atakayekopa milion duh
Chamsing n kufika ofisin kwao ..utajua n wakwel au VP ...yan unaweza lak unapata milion ndan ya dkk 45 ...ka n kwel itakuwa nzur ila wanatoa bure milion tatu kwa atakayekopa milion duh
Nmefatilia fb ...baadh ya watu wanasema n matapel ...na kuna page ya airtel sidhan ka n airtel wenyew maana wanapost habar zao tu ........ Ila huwez jua watembelee mkuu ukikuta n wakwel ..kindly check me 0685580057 nam nikapate mkwanja