Baba Uzia
Senior Member
- Jul 19, 2015
- 136
- 54
Wakuu nimekutana na hii asasi ya Kopa Mali foundation mtandaoni ( http://www.kopa-mali.wapka.mobi/site_0.xhtml ) naona kama vile maelezo yao ni mazuri na ningependa kuwa mwanachama lakini nimeingiwa na hofu ikabidi nije hapa JAMII BUNGE ili hoja yangu iweze kujadiliwa kwa mapana na marefu.
KARIBUNI WAPENDWA.
KARIBUNI WAPENDWA.