Sufian Jr
Member
- Aug 9, 2014
- 17
- 25
Habari naulizia kwa yoyote anayefahamu vyuo vinavyofundisha kozi za kuendesha mitambo south africa na kama wanafanya process za kubadili cheti maana nna cheti Cha forklift Cha hapa TZ
Kwa yoyote anayefahamu hivyo vyuo anijulishe kozi nnayo itaka Sana ni EXCAVATOR .. na kwa mwenye uelewa vizuri na hii nchi tajwa katika upande wa fursa katika kada hizo maana lengo langu kuu nikishamaliza hayo mafunzo kurudi huku labda kusalimia ila nataka nijikite kule au nchi nyingine yoyote kutafuta lakini sio hapa kwenye Giza nene