Kijana, kwanza naomba nikukumbushe kwamba hizo machine unazo taka kwenda kusomea SA ni Jambo jema kwasababu naona unafanya kitu moyo wako unataka....
Lakini kwa upande wa soko la ajira, sikushauri ufikirie SA kwasababu tu kule tayari walisha tutangulia kwenye Industrial Equipments and Machinery.
Hali hiyo ilipelekea teknolojia kututangulia miaka kadhaa, na hata hizo mashine unatakazo zisomea ni ngumu sana kuja kufanikiwa kupata ajira zake sababu kwakule SA those big moving Machines zimekua nyingi operated hadi na wadada.
Mimi nashauri kwmba, kama utapenda kujifunza juzikarabati hizo machine, na ukajikita hasa kwenye Hydraulic System and troubleshooting (and automatically utajikuta unafaham kuziendesha Excavator/Greda/Back hole/Dozers nk) ..... Hii nirahisi ikaja kukutoa na soko lake lipo Dunianzima.
Na unaweza ukaajiriwa na nirahisi ukajiajiri pia