Anayefahamu website za vyuo vya afya vya serikali!

Anayefahamu website za vyuo vya afya vya serikali!

Gibrielly

Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
23
Reaction score
1
Habari zenu wana jf nafkiri mko poa!
Wakubwa mnisamehe sana kwa hili nina shida na website za vyuo vya goverment nataka ni download form za kujiunga na vyuo naombeni kama kuna mshkaji anazixoma antupie information zake wakubwa!
Have a great day all da jf fans.
 
vyuo vya umma vya fani ipi? level ipi? afya imegawanyika sana nursing,maabara,clinical officer,pharmacy,MD,physiotherapy,etc.
pia weka wazi vyuo kwa level ipi, certificate,diploma,degree.
 
Nowdays mambo sio kama zamani ya kuomba anwani ya sanduku la posta! Just type jina la chuo kwenye search engine ya google then utapata kila kitu. Sio lazima kukariri web address.
 
Mshua nashkuru kwa ubinadamu wako ila hizi web unahakika nazo au zimefungiwa kwa kuwa azifunguki bro!
 
Mshua nashkuru kwa ubinadamu wako ila hizi web unahakika nazo au zimefungiwa kwa kuwa azifunguki bro!

nakushauri uende physically,hizo website zinasumbua kufunguka,au agiza mtu akutumie form ya kujiunga
 
Back
Top Bottom