Ipi sasa na sina msaadaKujitolea ni matumizi mabaya ya elimu yako, muda wako na nguvu zako. achana na masualaa ya kujitolea tafuta issue nyingine ya kufanya....
MhWw ni msichana au mvulana?
unatafuta kazi halafu unalimit watu wa kuview profile yako,, nilikua nipo interested na utaalam wa kupenda kupika. But haupo serious.
Mkuu km unanafasi ya kumsaidia mtu msaidie tuu dunia inazunguka hii huyo huyo anaweza kukusaidia baadae .unatafuta kazi halafu unalimit watu wa kuview profile yako,, nilikua nipo interested na utaalam wa kupenda kupika. But haupo serious.
kujitolea ni janga la taifa waulize walimu waliojitolea ajira zikitoka mfumo hauwatambui waliojitolea ivyo inakua gombania goli hlf pia siku izi ajira zote ajira portal hata ukijitolea vipi nafasi zinapelekwa huko na inakua gombania goli kwa wote na hawakujui kama ulikua unajitoleaHi,
Naomba msaada anaefanya kazi halmashauri yoyote hapa dar anae weza nisaidia nikapata nafasi ya kazi yaani kujitolea nijishikize tu.
Nimechoka haya maisha hamuwezi amini najua ila ukweli ni kwamba nimechoka sana natamani nipate msaada wowote akili imekuwa domat unakuwa na jambo unataka kulifanya huoni njia.
Au pia mtu mwenye anakampuni ya kupika sawa ipo tayari ukitoa njee ya taaluma yangu napenda pia maswala ya catering nitajibu pm nimefungua.
kuongea hiv ni rahis sanaaaaaaaaaaa..anza kufanya sasa..japo inawezekanaKujitolea ni matumizi mabaya ya elimu yako, muda wako na nguvu zako. achana na masualaa ya kujitolea tafuta issue nyingine ya kufanya....